Wabakaji

Duuuuh hatari....eti watalaumu kuwa walipitiwa na shetani. ...
 
Hao watu wanastahili adhabu kali sana. Kwa unyama wa ubakaji unasababisha matatizo ya kisaikolojia.
 
Mimi binafsi nimkamate mbakaji hasa wa watoto,lazima nimnyofoe koromeo bila ganzi kwa huruma nilio nayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…