Wabakaji wengi ukifuatilia hawana akili timamu

Wabakaji wengi ukifuatilia hawana akili timamu

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,440
Leo nitatamka maneno ya kutisha kidogo. Wabakaji wengi hawana akili,ni mataahira kwa ushahidi ufuatao;

India mwanamke alimkata uume mbakaji aliyejaribu kumbaka: kwa akili ya kawaida tu hivi unadhamiria kubaka kabisa, why usiuchunge uume wako?ni kweli wabakaji wana akili ndogo na kadri damu inavyokwenda ubongoni uume unaposimama ndiyo kabisaaaa wanabaki na akili 0.

Mwanamke huko Zimbabwe tena ni binti wa miaka 16 aliivunja korodani ya kushoto ya mtu aliyejaribu kumbaka. Mwanaumr huyo ana 45 hivi umedhamiria kubaka, unashindwa kuzilinda p*mb* zako?? Taahira.

Binti wa miaka 16 anamgalagaza mtu wa 45 mpaka kumuangusha na jibaba kuishia kupiga mayowe ya kuomba msaada. Mafi kabisa.

Watumishi wengi wa umma ambao visa vya ubakaji vimekithiri kwao kwa wingi ni walimu.

Hivi wewe ni mwalimu na ni mlala hoi, unapokea chini ya 900k TZS, then unamfuata mlalahoi mwenzako wa miaka 16 ili umbake una akili?

Na ndiyo maana miwalimu iliyo mingi haina akili kabisa. Mipuuzi na milofa. Huwezi kubaka mwanafunzi why ubake?
Hopeless

Na ilivyo mijinga baadhi ya miwalimu ya hivi inaambukizana huu upumbavu,iwe walimu wa chuo au sekondari yote ni yale yale tu. Akili ndogo kabisa.


Sorry
 
Kuna mambo kadhaa na hilo likiwemo, binafsi niliwahi kubaka nikiwa na umri wa miaka 18/19 hivi, sasa yapata miaka 35 ilopita na nilikuwa bado kuonja mbususu, pamoja na ubakaji nilioufanya lakini alishanikubali zaidi ya miezi 6 ilopita, ila danadana zake zilizidi. Bila shaka barehe na usongo vilichangia. (ii) kuna kundi la pili linachangia na imani za kishirikina.
 
Back
Top Bottom