Wababe wakutana nani ni mshindi hapo?

Wababe wakutana nani ni mshindi hapo?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10487172_10154412140475634_7002947091130522469_n.jpg

One of our community members sent this to me. This is a great "what if", isn't it?
 
Yani mnafikiri mwigizaji atamshinda mfanya kweli?? Hehehe you guys are not serious. Kwaio zile sarakasi za kwenye movie za brucelee ndio zimewachanganya kabisa ma kuoamini atamtoa The Greatest kwenye real battle? Labda iwe na "cut!" take 2!

Great photo by the way!
 
This is to extend imaginations too far. Mohamed Ali has never been a kick-boxer.How can you ever imagine him in a bout against the king of kick-boxing Bruce Lee!
A ridiculous photo.
 
Muhamad ali was the bomb, huyu bruce lee alikuwa actor tu, ndo maana majuzi kati aliitwa Jackie akaokoe wale wasichana wa Nigeria kutoka kwa Boko haram!

Watu wanaamini kama anaweza chakaza watu kwenye muvi anaweza hata in real life situation.

Brainwashed folks!!
 
Bruce Lee alikuwa fit kwenye real life...chunguza .
 
Yani mnafikiri mwigizaji atamshinda mfanya kweli?? Hehehe you guys are not serious. Kwaio zile sarakasi za kwenye movie za brucelee ndio zimewachanganya kabisa ma kuoamini atamtoa The Greatest kwenye real battle? Labda iwe na "cut!" take 2!

Great photo by the way!
In reality alikua vizuri pia.... si tu movies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom