Wababe wakutana nani ni mshindi hapo?

Wababe wakutana nani ni mshindi hapo?

Bruce Lee ni kati ya watu niliotamani kuwaona
 
Yani mnafikiri mwigizaji atamshinda mfanya kweli?? Hehehe you guys are not serious. Kwaio zile sarakasi za kwenye movie za brucelee ndio zimewachanganya kabisa ma kuoamini atamtoa The Greatest kwenye real battle? Labda iwe na "cut!" take 2!

Great photo by the way!

Bruce lee si tu Kwamba alikuwa muigizaji, but alikuwa the best martial artist in real world.

Aliacha style yake ya kupigana aliyobuni mwenyewe ambayo ni full darasa, inaitwa JEET KUNE DO.

Fatilieni mambo vijana.
 
Usidhani kwamba aliyoyafanya Bruce Lee kwenye movies zake yalikuwa ni maagizo ambayo alikuwa hawezi kuyafanya mtaani. Wakati wanacheza movie yake na Kareem Abdul Jabbar inayoitwa game of death, Kareem alimchallenge Bruce kwamba hawezi kumuangusha uso kwa uso (kama vile wanapigana) Bruce akamwambia nitakupeleka chini tena haraka sana wala usijue nini kimetokea. Njemba zikaingia uwanjani kila mmoja akitaka kuthibitisha kauli yake. Haikuchukua muda Kareem akawa chaliii huku akiwa hajui nini kilitokea. Haya ni maneno toka kwa Kareem ambaye alikuwa ni rafiki mkubwa wa Bruce Lee. Bruce alikuwa ni moto wa kuotea mbali.

Yani mnafikiri mwigizaji atamshinda mfanya kweli?? Hehehe you guys are not serious. Kwaio zile sarakasi za kwenye movie za brucelee ndio zimewachanganya kabisa ma kuoamini atamtoa The Greatest kwenye real battle? Labda iwe na "cut!" take 2!

Great photo by the way!
 
10487172_10154412140475634_7002947091130522469_n.jpg

One of our community members sent this to me. This is a great "what if", isn't it?
ukitaka kujua kuwa boxer hawezi kumshinda karataker, hapo bruce anaweza asidili kabisa na ngumi/mikono, akadili tu na miguu...kwa kutumia mguu tu anaweza kuuvunja mguu wa huyo mohmd ali ukavunjika kabisa. kuna mapigo ya kuvunja miguu kwa watu waliosimama namna hiyo kwa wale waliocheza karate watakuwa wanajua hilo (karate ya shotokan au kung fu ya shaolin)...boxer ukienda naye kwa kupigana ngumi kulenga upande wa juu kichwani atapigwa bruce vibaya sana, ila wakienda free style mapigo ya karate/kung fu ni ya mauaji kabisa kupiga kwenye chembe ya moyo, kupiga kwenye mwisho wa mbavu sehemu ya ini, kuvunja miguu, mateke ya kisigino yaani balaaa. hata mimi binafsi ali hapo ningemdondosha chini na angekuwa kilema kabisa.
 
ali yupi??? Mhh
 
Yani mnafikiri mwigizaji atamshinda mfanya kweli?? Hehehe you guys are not serious. Kwaio zile sarakasi za kwenye movie za brucelee ndio zimewachanganya kabisa ma kuoamini atamtoa The Greatest kwenye real battle? Labda iwe na "cut!" take 2!

Great photo by the way!

Humjui bruce, fanya uchunguzi kuhusu hao watu then ukimaliza rejea kwenye hiyo coment yako alafu uone kama kuna marekebisho yoyote ya kufanya.
 
ukitaka kujua kuwa boxer hawezi kumshinda karataker, hapo bruce anaweza asidili kabisa na ngumi/mikono, akadili tu na miguu...kwa kutumia mguu tu anaweza kuuvunja mguu wa huyo mohmd ali ukavunjika kabisa. kuna mapigo ya kuvunja miguu kwa watu waliosimama namna hiyo kwa wale waliocheza karate watakuwa wanajua hilo (karate ya shotokan au kung fu ya shaolin)...boxer ukienda naye kwa kupigana ngumi kulenga upande wa juu kichwani atapigwa bruce vibaya sana, ila wakienda free style mapigo ya karate/kung fu ni ya mauaji kabisa kupiga kwenye chembe ya moyo, kupiga kwenye mwisho wa mbavu sehemu ya ini, kuvunja miguu, mateke ya kisigino yaani balaaa. hata mimi binafsi ali hapo ningemdondosha chini na angekuwa kilema kabisa.

mzee wa gedan barai..dojo wapi mkuu?unaonekana kuujua mchezo.boxer hawezi simama mbele ya mtu wa karate/kungfu aliyewiva..mambo ya tae kwondo,mateke mwanzo mwisho!
 
"float like butterfly, sting like a bee" moja ya mikakati ambayo ingemuweka Ali juu.

Mpango wa kutolinda kichwa nafikiri angeuweka kando kwa pambano kama hili.
 
mzee wa gedan barai..dojo wapi mkuu?unaonekana kuujua mchezo.boxer hawezi simama mbele ya mtu wa karate/kungfu aliyewiva..mambo ya tae kwondo,mateke mwanzo mwisho!
mimi nimecheza shotokan karate, ni ya kijapan na mkanda wangu ni mweuzi kabisa yaani mi ni sensei. nikikutana na boxer kama huyo, ninajua nikisimama naye kutushiana makonde ya usoni atanipiga, dawa yake mi naahirisha kupiga ngumi, ni kutumia miguu, kiwiko, vidole na kisigino tu. ninao uwezo kumdondosha kwa dakika na hatasimama tena kama bado atakuwa hai. hii ni hakika. kama hauamini jaribu kutafuta siku mniweke naye kwenye kumite kiiingilio bure.
 
Tukiamua kwa kutumia hiyo picha bruce anakalishwa we cheki ali alivyolikataa hilo teke, unadhani uzito wa ngumi yake ukimfikia bruce kuna nini tena?
hilo teke hakutakiwa kulirusha usoni, alitakiwa kulidondosha kwenye huo mguu aliouweka kizembe kwa staili ya kuuvunja, unaweza kuvunjika vipande viwili kabisa kwa mtu aliyewiva kwenye hii michezo yetu.
 
mimi nimecheza shotokan karate, ni ya kijapan na mkanda wangu ni mweuzi kabisa yaani mi ni sensei. nikikutana na boxer kama huyo, ninajua nikisimama naye kutushiana makonde ya usoni atanipiga, dawa yake mi naahirisha kupiga ngumi, ni kutumia miguu, kiwiko, vidole na kisigino tu. ninao uwezo kumdondosha kwa dakika na hatasimama tena kama bado atakuwa hai. hii ni hakika. kama hauamini jaribu kutafuta siku mniweke naye kwenye kumite kiiingilio bure.

hatuwezi 'kukuweka' nae,huyo Mohamed Ali alishaacha kupigana;ni mzee sasa,tena ana maradhi ya kupooza,labda tukutafutie Cheka ama vipi?hapo huo mguu wa kizembe utavunja na nini..yoko geri au??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom