donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Wazee wa tranter a.k.a redbook, sio mambo ya backhouse II
Mkuu nina ajira na pia nimeajiri watu. Mitambo yangu fact, A wa hisabatiHATA HIVYO HAKUNA AJIRA SOMENI MJIAJIRI !
mimi mathematics ni ngumu kwangu hongereni
Good job
Hatari sana mkuu😄😄Unakuta kijana aliyejifunza kuweka lesi kwenye chupi za kike ana hela . Tuliomeza intergration tunapiga mizinga
We umemaliza 2009 nini? Ulimaliza na kina njiro?Dahhh.. umenikumbusha mbali saaannaaaaaa... old moshi Sec school... PCM class of 2009 .... hata haya madude sikumbuki tena.. hesabu nnayotumia sana kazini kwa sasa ni trigonometry na basic mathematics tu ya shule ya msingi.
Unaweza kukuta ndio njiro mwenyewe 😃We umemaliza 2009 nini? Ulimaliza na kina njiro?
Anaweza kuwa sanawariWe umemaliza 2009 nini? Ulimaliza na kina njiro?
Hakika
I'm currently working on a similar project. Will get back to you soon, japo swali ni la kiiwango cha chini sanaWazee wa tranter a.k.a redbook, sio mambo ya backhouse IIView attachment 1828764
Umepata mkuu,kiukweli uko vizuri. A wa hisabati
Kabisa mkuu yaan hii elimu haijatusaidia lolote labda wenzetu mainjinia wa madarajaMda mrefu sana mkuu hapana kumbuka kabisa, unakula midude ya hatari shuleni ukija kazini unafanya hesabu za kitoto kabisa.
Nakuelewa mzee wanguI'm currently working on a similar project. Will get back to you soon, japo swali ni la kiiwango cha chini sana

