Wababe wa nyoka hawa hapa

Wababe wa nyoka hawa hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1415134915503.jpg
 
Wakati were unamuogopa nyoka kufa hawa jamaa kwao ni mchumba tu
 
honey burger n noma, sumu ya nyoka yeye analewa tu kama mimi na wewe tukinywa ki-ndovu.
 
Huyu mnyama huwa wanamuita fearless animal

Nimeamini angalia hapa1415209533231.jpgkamvimbia simba

Hapa kamvimbia cobra1415209590569.jpgtena kinomanoma

Hapa anamtafuna nyoka live1415209650884.jpg

Hapa kakomaa na kobe1415209687479.jpg

Hakika anastahili kuitwa fearless
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom