Wababa wasiojiweza ni wa namna gani?

Hilo neno lina maana nyingi kila linapotumika kwa hao wababa sasa useme waliokuwa wanasema walikuwa mazingira gani.

Kuna wasiojiweza kimaisha, wasiojiweza kitand*ni, wasiojiweza mbele ya wanawake, wasiojiweza kwa ulevi, wasiojiweza kufanya shughuli zao za kila siku yaani hilo neno linapotumika linakuwa na maana aiseee
 
Hilo neno lina maana nyingi kila linapotumika kwa hao wababa sasa useme waliokuwa wanasema walikuwa sehemu gani.

Kuna wasiojiweza kimaisha, wasiojiweza kitand*ni, wasiojiweza mbele ya wanawake, wasiojiweza kwa pombe, wasiojiweza kufanya shughuli zao za kila siku yaani hilo neno linapotumika linakuwa na maana aiseee


Aiseeeeh
 
Back
Top Bottom