Mi napenda zaidi pale kibinti kikiniita bebi wangu. yaani nachanganyikiwa. au vikisema njoo uoge mume wangu. yaani vinanchengua.
ile kitu haizeeki mavuzi hayana mvi dada
Utakuta mtu ana umri kama baba au babu yako eti anakufuata kukutongoza, jiheshimuni jamani huo utaratibu mnautoa wapi?...
Utakuta mtu ana umri kama baba au babu yako eti anakufuata kukutongoza, jiheshimuni jamani huo utaratibu mnautoa wapi?...
Njaa zao zinawaponzaKweli kabisa jamani kwani hata hakuna ng'ombe dume ambalo humpanda ndama au jogoo kumkwea kifaranga, hii laana jamani!
Ila baadhi ya vibinti vya mjini ndo vinapenda watu wazima/vibabu eti wanasema babu ana shughuli kiduchu lakini mshahara wa kumwaga tofauti na vijana atakupindisha style zote lakini malipo ya manati (hasa kwa wadada ambao wao ni pesa yako)
wapi wameandika sheria ya mapenzi na umri. Kila mtu ana haki ya kutongoza lakini kukataliwa au kukubaliwa ni moja kati ya majibu.
kuna watu wanatamani kutingozwa wewe unakataa
na ninakuja PM kwako muda si mrefu. na unikatae sasa. nina miaka 43Ndo zako nini?