Wababa na mababu zetu wengi hamna heshima.....

Wababa na mababu zetu wengi hamna heshima.....

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
Utakuta mtu ana umri kama baba au babu yako eti anakufuata kukutongoza, jiheshimuni jamani huo utaratibu mnautoa wapi?...
 
Regina ulivyokomaa wanahisi na wewe ni kijeba mwenzao. uso wako umekomaa sana ndio maana unatongozwa na wazee tu.
 
acha uzembe,, umepewa bure.,,unabana ili iwe nini??
 
Yani kweli hawa wazee wa ckuiz tafrani na hii kauli mbiu yao mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio.
Ndio tusipokuwa makini unatembea na vabu akipiga game mara tatu tu mtu ushakuwa mgumba.
 
utakuja mtu ana umri kama baba au babu yako eti anakufuata kukutongoza, jiheshimuni jamani huo utaratibu mnautoa wapi?...
He ulihisi vipi kama anakutongoza au how comes you leave the door open to reach that extend? We we ndio mkosa
 
Wapa mizingo wale kuna ubaya gani kwani ina umri hile kitu namesaga mwezake gawa mama funza watafadi usipoitumia vyema ndio kazi yake
 
Kwani hawaruhusiwi kutongoza? Kama hutaki siukatae! Heshima haina uhusiano na kutongoza.
 
utakuja mtu ana umri kama baba au babu yako eti anakufuata kukutongoza, jiheshimuni jamani huo utaratibu mnautoa wapi?...

huo utaratibu unatokana na genye tulizonazo na nyie muache kututega angali mnajua tunamahela na bibi zenu washachoka..
 
Halafu ukiwaita wazee unawakosea heshima, nasikia uzee mwisho chalinze, waite 'babies'
 
utakuja mtu ana umri kama baba au babu yako eti anakufuata kukutongoza, jiheshimuni jamani huo utaratibu mnautoa wapi?...
We we wa wapi?!!!!!!!. Masuga Mami yamejaa kila kona yanatongoza hadi watoto wa primeri, hujawaona??????!!!!!!!
 
Mtongozwa naye ana makosa kama akikubali. Halafu siku hizi vibinti hawana heshima ndo maana wanafatakiwa na vibabu. Tena eti wanaita vibabu..."baby..". Wizi mtupu.
 
Mi napenda zaidi pale kibinti kikiniita bebi wangu. yaani nachanganyikiwa. au vikisema njoo uoge mume wangu. yaani vinanchengua.
 
Back
Top Bottom