Wababa na mababu zetu wengi hamna heshima.....

Wababa na mababu zetu wengi hamna heshima.....

mpe babu kitu roho inapenda bana...

maini yake hayazeeki.

uzee siku hizi waishia Mikumi.

Umesema kweli nakwanzia leo uzee umeishia kitonga
 
Kwa dar uzee mwisho chalinze kwa r-chuga uzee mwisho tengeru ukifika town wote baby njoo baga.
 
Yani kweli hawa wazee wa ckuiz tafrani na hii kauli mbiu yao mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio.
Ndio tusipokuwa makini unatembea na vabu akipiga game mara tatu tu mtu ushakuwa mgumba.
Hapo kwenye rangi sijapaelewa vyema una maanisha anakuambukiza ugumba, ama?
Dunia pana hii jamani.
 
Back
Top Bottom