Romance
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 586
- 159
Mkwara kitu gani?mtu anang'atwa na siafu na bado anakuridhisha,sema tu huyo jamaa mguu wa tatu ulikuwa haufanyi kazi
malijaliii utawajua tuuu!!!!!! aaaaaaiiiiiiiiiii teh teh teh

Mkaka wa watu yuko vizuri tu sa sijui ule mkwara ulimdhoofisha, kaaazi kweli kweli
sijui nikajaribu hii
Kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo
Huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi kati kakutana na mdada amekuja kwa ajili ya semina mahali, kama kawaida akamtongoza na hivi mdada ni mgeni hapa basi akawa anamtoa out jioni anamzungusha zungusha kuona mji, anampeleka club na mambo mengi tu ambayo yalikuwa yanamtobolea mfuko vilivyo. Lakini kila akiomba mchezo anaambiwa subiri subiri.
Baada ya kula kwa sana vihela vya jamaa siku hiyo mdada akamuita akamwambia leo nataka nikupe, mkaka wa watu kachekelea hatimae ndege kajinasa, basi baada ya kufika chumbani mdada akaanza risala "umening'ang'ania sana nikupe nikupe sasa leo nakupa na ole wako usiniridhishe utanitambua nakwambia, tena kwa sauti kavu kabisa akasaula akalala njoo sasa ule unazubaa nini? na ole wako narudia ole wako ushindwe kumaliza chakula.
Duh! mkaka wa watu ikabidi akanawa aanze kula unaambiwa zubri iligoma kunyooka kila akitaka kula wapi ka mlenda akajitahidi tahidi mwisho akamaliza sa si hakuweza vizuri basi mdada wacha aanze kumshutumu si nilikwambia lazima kazi uifanye vizuri sa ndio umefanya nini? na leo huondoki mpaka niridhike haya fanya fasta akaenda kujianika tena kwa bed safari hii mkaka wa watu kujaribu ndio akashindwa kabisaaaaaa bora mara ya kwanza alijaribu.
Hivi wakaka ni kweli mdada akikuanzia na mikwara ya hivi ndio unakua kushinei ee
We nawe mbona hivyo? mwenzio nilitaka kucopy na kupest huu ufundi kumbe kuna wengine hamtishiki hata kwa nini lol, hakyanani

uko sawa (according 2u'r sex), ila mi nnauhakika ungeshawishka2 kama ungekuwa mwanaume.aaaaiiiiiiiiiiii!!! makakaa ganii huyoo?? aogopa hali mdada kajianika na vifaaa vyooooteeee njeee aaaiiiiii!!!!! hawezi tu kaziiiii au mdadaaa auziii akichojoaaa!!!!!! sijashawishika!!!
Ha ha ha, maty kwa mkwara huo na msamaha nitaomba.Mbu nakuuliza bana hivi nikakujia na mkwara kama huo nitakumaliza makali ghafla ee lol
Hahhhh Mbu asa mbona watunyima uhondo?? tusikuulize kwa nini? Mi nanyoosha mkono naomba kuuliza...Ha ha ha, maty wewee dooohhh!
Ama kweli maishani tunapitia mengi.
Msiniulize.