bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Ila usikosee ukaenda kule kwetu kule...mtu anakula tu bata hata ukipiga mkwara, tena ukipiga mkwara ndo kwanza naanza kujiandaa kukutana na timbwili sasa hapo kitachotokea sijui....
kweli vidume tunatofautiana, huyu dada angekutana na wale ambao,
hizi timbwili timbwili ndo zao, angejuta kumfahamu!
kuna jamaa ambao bila mieleka, sarakasi na kukurukakara hajala mzigo bado!
nakumbuka kuna mshkaji mmoja alikutana na timbwili la kula mzigo kwa mkwala,
matokeo yake mpaka anamaliza kula mzigo, akajikuta ana ramani kibao mwilini za kung'atwa,
lakini alimaliza kutafuna mzigo kama kawa.....................................