Wababa/kaka hivi ni kweli

Ha ha ha, Teamo kwani hiyo inakua ni hongo? Hapana ni wajibu tu......lol

hawa watu wagumu bana LD siku hizi, hawajui wajibu wao kabisa. Ukishangaa huo wajibu utaambiwa utoe wewe mdada lol
 
kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo

huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi kati kakutana na mdada amekuja kwa ajili ya semina mahali, kama kawaida akamtongoza na hivi mdada ni mgeni hapa basi akawa anamtoa out jioni anamzungusha zungusha kuona mji, anampeleka club na mambo mengi tu ambayo yalikuwa yanamtobolea mfuko vilivyo. Lakini kila akiomba mchezo anaambiwa subiri subiri.

Baada ya kula kwa sana vihela vya jamaa siku hiyo mdada akamuita akamwambia leo nataka nikupe, mkaka wa watu kachekelea hatimae ndege kajinasa, basi baada ya kufika chumbani mdada akaanza risala "umening'ang'ania sana nikupe nikupe sasa leo nakupa na ole wako usiniridhishe utanitambua nakwambia, tena kwa sauti kavu kabisa akasaula akalala njoo sasa ule unazubaa nini? Na ole wako narudia ole wako ushindwe kumaliza chakula.

Duh! Mkaka wa watu ikabidi akanawa aanze kula unaambiwa zubri iligoma kunyooka kila akitaka kula wapi ka mlenda akajitahidi tahidi mwisho akamaliza sa si hakuweza vizuri basi mdada wacha aanze kumshutumu si nilikwambia lazima kazi uifanye vizuri sa ndio umefanya nini? Na leo huondoki mpaka niridhike haya fanya fasta akaenda kujianika tena kwa bed safari hii mkaka wa watu kujaribu ndio akashindwa kabisaaaaaa bora mara ya kwanza alijaribu.

Hivi wakaka ni kweli mdada akikuanzia na mikwara ya hivi ndio unakua kushinei ee

njoo unifanyie mimi uone mwenyewe, wala usiulize
 
Sisi tulio safi hatuendagi guest kufanya hayo mambo ya dhambi na ndo maana tumeshindwa kuchangia. Guest huwa tunalala tu tukisafiri kikazi na si vinginevyo. Hata hivyo ninawaonya vijana acheni UZINZI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
There must be other explanations... hainiingiii akilini, wanaume walivyo warafi na wakware, apate mpya na ashindwe!!! No way....dada alikuwa na yake
 
Mhhhh...inawezekana wewe ni strategist wa ofisi kuu...Mtu wakawaida kama Mzee DC hawezi kupata idea za nguvu kiasi hicho tena kwa muda mfupi.

Kweli huyo kaka alihitaji kuneutralize mkwara kwanza!
Ndio maana yake maana mwanamke katafuta udhaifu wa jamaa kapata... na jamaa angetumia udhaifu wa wanawake
 
Hahhhh Mbu asa mbona watunyima uhondo?? tusikuulize kwa nini? Mi nanyoosha mkono naomba kuuliza...


Matty hahahaah wewe ulikopindia unakujua mwenyewe duh.....ila kusema kweli huyo dada alicheza na pyschology ya kaka- hakuna na nia naye.......... duh yaani ni kama vile uambiwe na afande wa kike, shughulika na ukishindwa utantambua........asa hiyo kunitambua hujui ana maanisha nini; kukutia ndani au kukuitia mabaunsa wakushughulikie, akili inagawanyika na ubongo unashindwa kupata meseji ipazavyo loh

Mmmh hizi tungo tata jamani khaaa!!
 
ni kweli kabisa mzee dc (ingawa hili jina la mzee silipendi lol) huyu mkaka wa watu ni mzima kabisa, nikisema wananiuliza nimejulia wapi mwe! ule mkwara wa yule dada ulifanya kazi kisawa sawa

umejuaje?
 
Jamaa alipatikana..sasa kutaka kote mbona kitu chini?!! nadhani kususiwa ilimfanya apanic, hii inaweza kuwatokea wanaume wengine pia..Yani mdada ajilaze tu na kukukaribisha tena kwa masharti umfikishe, lazima mwanaume aone nyota kwanza!!..ha ha
 
Jamaa alipatikana..sasa kutaka kote mbona kitu chini?!! nadhani kususiwa ilimfanya apanic, hii inaweza kuwatokea wanaume wengine pia..Yani mdada ajilaze tu na kukukaribisha tena kwa masharti umfikishe, lazima mwanaume aone nyota kwanza!!..ha ha
Unajua hata mie bado najiuliza........ alizima taa?
 
confo alikosa hyo jamaa pia alikuwa haamin kama anakabdhiwa kula tunda!!!
Kuna wengine nuksi hata kama ukitoa mkwara vp tunda linaliwa bila wac!!!
 
Ndio maana yake maana mwanamke katafuta udhaifu wa jamaa kapata... na jamaa angetumia udhaifu wa wanawake

Kweli Gaga,

Ila kwanza lazima ujue kwamba wanawake nao wana udhaifu wao. Nadhani huyo brothermen labda hakuwa na uzoefu wa kutosha kulijua hilo.

Halafu uweze kufanya maamuzi ya haraka sana. Kumbu huyo jamaa alikuwa na sekunde chache sana, ama kuamua kutimua mbio, kuendelea hivyo hivyo au kumgeuzia kibao dada ili siku nyingine asicheze na bull's horns!!
 
Huu uzi ulipofikia naamini naruhusiwa kwenda off TOPIC...lol... Maty huyo
mkaka kumpooza asipoteze kabisa nguvu inatakiwa kurecommend mdada..

Mhhhhh...Asha wewe, unataka kuelekea wapi? Kwamba a friend in need...ili Maty amwomfiche uso huyo bitozi? Hivi kweli hiyo huwa ipo???


Ngoja tumsubiri Maty atupe jibu!!
 
Jamaa alipatikana..sasa kutaka kote mbona kitu chini?!! nadhani kususiwa ilimfanya apanic, hii inaweza kuwatokea wanaume wengine pia..Yani mdada ajilaze tu na kukukaribisha tena kwa masharti umfikishe, lazima mwanaume aone nyota kwanza!!..ha ha

BJ,

Ukishawekewa masharti basi hiyo ni kesi ya ubakaji..Sheria zentu zisingekuwa za upande mmoja huyu dada alitakuwa kufikisshwa mbele ya pilato!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom