EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #21
we jamaa hawa jamaa sio watoto, wajiunga ili kuwasoma maadui wao hao wanaotalii ni mashushu wa kufa mtuIsrael citizen kwa maelfu wamefurika dubai kula starehe,,yaani walikuwa hawajawahi kuona sehemu ya kula bata kama dubai,😆😁😁,wamefurahi sana,infact,,
Sasa subiri nao hao wavaa kanzu fupi waanze kwenda kutalii israel ndo patanoga,,
Mpaka juzi,kuna tajiri wa dubei,kainunua timu ya huko israel,, in short israel watamezwa