Waarabu wanavyoihadaa dunia!!!

Waarabu wanavyoihadaa dunia!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,947
Reaction score
6,035
Uongo uliopitiliza; Msichana wa Gaza "alipigwa risasi kifuani na majeshi ya Israel madaktari wanaitoa risasi hiyo mgongoni kwa msichana huyo cha ajabu hakuna damu, hakuna jeraha, na ganda la risasi halijakamilika.
Kusema kweli waarabu wanachezea sana akili!!!

Angalia hiyo video wanajifanya wako bike sana kumbe wanatulisha Matango-Pori tu!!
 
Attachments

  • A_girl_in_Gaza_was_shot_by_Israeli_forces,_miraculously,_there_is.mp4
    4.7 MB
Uongo uliopitiliza; Msichana wa Gaza "alipigwa risasi kifuani na majeshi ya Israel madaktari wanaitoa risasi hiyo mgongoni kwa msichana huyo cha ajabu hakuna damu, hakuna jeraha, na ganda la risasi halijakamilika.
Kusema kweli waarabu wanachezea sana akili!!!

Angalia hiyo video wanajifanya wako bike sana kumbe wanatulisha Matango-Pori tu!!
Dunia imeendelea sana washangaa kutolewa risasi bila damu,Shangaa hivi sasa,Daktari anaweza kuwa yuko Zanzibar,akamfanyia upasuaji mgonjwa yuko Dar kupitia IT,computer.Au kufanyiwa matibabu,bila upasuaji kwa kutumia wire,kuingizwa sehemu husika na huo waya,kukata sehemu yenye maradhi.
 
Yaani mtoto apigwe risasi kifuani na risasi itokee mgongoni harafu damu isitokee na wala kufa hakufa hii Wafuga Midevu na Majini tu ndiyo itaingia vichwani mwao!!!
 
Khaaa! Hivi wewe jamaa; leo ndo unawajua hao Waarabu na Kobaaz kwa ujumla wao?? Pole sana. Usishangae hata wanaposema WAMEKUFA akina mama na watoto na kutengeneza vid.clips za uongo na kuzirusha mitandaoni. Ni waongo waliokubuhu. Eti risasi ya kifuani na itokee mgongoni -hapo ni 100% kifo. Hiyo clip ni mojawapo ya vitimbi vyao.
Hiya ni :AYAYASip::AYAYASip:
 
Uongo uliopitiliza; Msichana wa Gaza "alipigwa risasi kifuani na majeshi ya Israel madaktari wanaitoa risasi hiyo mgongoni kwa msichana huyo cha ajabu hakuna damu, hakuna jeraha, na ganda la risasi halijakamilika.
Kusema kweli waarabu wanachezea sana akili!!!

Angalia hiyo video wanajifanya wako bike sana kumbe wanatulisha Matango-Pori tu!!
Hamas wanacheza michezo mingi ya propaganda hata vifo vya wanawake na watoto kuna uwongo mwingi kwanini hawajawahi kutangaza vifo vya wanachama wao wa hamas toka vita vianze wako bize na wanawake na watoto wameuawa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Hilo swali litawasumbua sana na Hawatakujibu.
 
Back
Top Bottom