Waarabu wamsifu 'Abu Ivanka' almaarufu rais Donald Trump kwa mashambulizi dhidi ya Syria

Well, I think we tried very hard not to be overconfident, because when you get overconfident, that's when something snaps up and bites you.
Mystery creates wonder and wonder is the basis of man's desire to understand.
 
Kwenye Dunia hii ukitaka kucheza Dirty Game yoyote watumie Waarabu they are overwhelming stupid. Na kwa kifupi unahitaji kua na empty head ili kuamini kua Assad alitumia chemical weapon, Yaani aache kutumia hizo silaha za sumu kipindi anapigwa na kurudishwa nyuma na alivyokua anapigana defensive war alafu aanze kutumia hizo silaha Kwa sasa anapo pigana vita Offensive na anarudisha maeneo yaliyo tekwa na magaidi daily. BTW wacha wauane ndio kitu kizuri ambacho waarabu wanakiweza zaidi.
 
Hilo linawezekana pia, lakini pia waarabu hawapendani, inawezekana pia ni waarabu.
Sio kwamba tu hawapendani, Bali pia ni Wabaguzi, Wajinga, Wanafki na Wasaliti namba Moja. Wanatokwa povu Israel iki muua gaidi mmoja wa palestina lakini wapo kimnya ISIS, Al Qaeda/ Al Nusra front wakiua maelfu, Saudia imeua Maelfu ya Wayemen na juzi imeua Wasomali kibao wakiwa kwenye boti ila waarabu na Arabs apologist wapo kimnyaaa.
 
Kwenye Dunia hii ukitaka kucheza Dirty Game yoyote watumie Waarabu they are overwhelming stupid. Na kwa kifupi unahitaji kua na empty head ili kuamini kua Assad alitumia chemical weapon, Yaani aache kutumia hizo silaha za sumu kipindi anapigwa na kurudishwa nyuma na alivyokua anapigana defensive war alafu aanze kutumia hizo silaha Kwa sasa anapo pigana vita Offensive na anarudisha maeneo yaliyo tekwa na magaidi daily. BTW wacha wauane ndio kitu kizuri ambacho waarabu wanakiweza zaidi.
Hapa umenena kweli! Propaganda ni wizara za siri au idara ktk wizara za habari za mataifa ya kimagharibi. Hata Nyerere alizushiwa nyingi sana Mkuu.
 
Kama ipi kwa Nyerere?
Walimsingizia kuwa ni dikteta, asiyefata haki za binadamu, mchoyo wa madaraka, hawapendi wananchi wake, ana udini, kifupi ni kiongozi mbaya. Hakuna hata moja hapo lenye ukweli.
 
Nimesoma mojawapo ya nyuzi humu jukwaani Wadau wakilaumu Marekani kuwa inaonea watu wa mrengo wa dini flan huko syria . Sasa kwa hili la Waarabu kushangilia Waarabu wenzao kupigwa sijui watalitolea maelezo gani..
 
Mwarabu ambaye anamsapoti huyo kichaa lazima atakuwa shoga kama bibi yenu natanyahu
Mkuu hapa utakuwa umewajumuisha wa Saudia wa katari wa kuwait wa jordan manake hawa wote wanaunga mkono kwa hali na mali harakati za Trump huko syria
 
Wanao msapoti ni viongozi ambao ni madictotor. Mwarabu mwananchi haswa huwezi kushangilia ujinga wa Trump.
Mkuu hapa utakuwa umewajumuisha wa Saudia wa katari wa kuwait wa jordan manake hawa wote wanaunga mkono kwa hali na mali harakati za Trump huko syria
 
Back
Top Bottom