Waarabu waliwapeleka wapi mababu zetu, mbona leo hatuwaoni uarabuni kama ilivyo Marekani na Ulaya

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe.

⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli.

⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote

ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili tofauti : WARABU NI KITU KIMOJA NA UISLAMU NI KITU KINGINE, hivyo:
⚠️Usichanganye maada hii na Uislamu

Twende Kwa pamoja:
1. Waarabu walipeleka wapi Waafrika (weusi)?
Waafrika (hasa kutoka Afrika magharibi na Mashariki na Kati) walipelekwa kuuzwa: 👇

🔹 Mashariki ya Kati ya Asia:
Arabia (Saudi, Yemen, Oman)
Iraq, Syria, Jordan
Iran

🔹 Asia:

India
Pakistan
Persia (Iran ya kale)

👉 Hii ilijulikana kama Arab/Indian Ocean Slave Trade.

Swali muhimu wanahistoria wametofautiana kwalo?

2. Je, waliwaua?

👉 Wanahistoria wengi wanasema hapana ila wanaume wengi waliuawa.
(Sasa tunajiuliza waarabu waje Africa wachukue watumwa alafu waende kuwauwa? Hapa Kuna Siri nyingi katk historia zimefichwa)

NGOJA NIKUPE UKWELI MCHUNGU KUSKIA!
👉 ukweli mchungu:

Watumwa hasa Wanaume wote waliotoka Africa walihasiwa (castration)🫢😓

Wanaume wengi walihasiwa
Walifanywa:

.Walinzi wa majumba (eunuchs)

.Watumishi wa kifalme

.Wengi walikufa wakati wa kuhasiwa (hakukuwa na tiba)

Hii ndiyo sababu:
👉 Hakukuwa na kizazi cha wanaume weusi kuendelea kuishi Uarabuni

3. Walikuwa wanawauza wapi hasa?

Wanawake:

Wake wa ziada (concubines)
Watumishi wa ndani
Baadhi waliingizwa kwenye ndoa

Watoto nao walifanywa:

Watumishi
Askari
Wengine walichukuliwa mapema wakapoteza kabisa utambulisho

Wanaume wao walifanyishwa:

Kazi ngumu
Jeshi
Walinzi (baada ya kuhasiwa)

4. Kwa nini Uarabuni hakuna weusi hadi leo?

Hili ndilo swali muhimu zaidi 👇
Sababu kuu 4:

(1) Hakukuwa na kizazi
Wanaume wengi walihasiwa → hakuna kuzaa
Tofauti na Amerika ambako watumwa waliweza kuzaa

(2) Kuchanganywa na kufutwa utambulisho
Wanawake weusi:

Walizaa na Waarabu
Watoto walihesabika kama Waarabu, si Waafrika

Hivyo Rangi ikapotea kizazi baada ya kizazi Kwa miongo mingi, ndio maana Hadi Leo rangi ya chotara haipo kabisa uarabuni

(3) Hakukuwa na jamii huru ya weusi
Marekani kulikuwa na:

Jamii za weusi
Mapambano ya haki

Uarabuni:
Hakukuwa na uhuru wa kujenga jamii za kujitambua

(4) Historia ilifichwa:
Nchi nyingi za Kiarabu:

Hazifundishi historia hii
Hakuna makumbusho makubwa ya utumwa wa Kiafrika
Maana wakifundisha waarabu wengi wataanza kufatilia nasabu zao na Koo zao mwisho wakute Wana damu za kiafrika

Ndiyo maana watu hujiuliza: “walienda wapi?”

5. Lakini je, hakuna weusi kabisa Uarabuni?
Jibu ni ndio lakini:

Wako wachache sana
Mara nyingi wame:
Changanyika kikabila
Kupoteza lugha na asili

Mfano:
Afro-Arabs (Oman, Saudi, Iraq)
Zanzibar (historia ya kipekee)

⚠️Nakuonya ewe msomaji hii maada haihusiani na Uislamu maana najua naposema WARABU wengi mnaelewa Uislamu.

Maada ijayo tutachambua utumwa wa wazungu na mateso yao Kwa Babu zetu: vile vile maada hii usije ukaichanganya na Ukristo.
1769977573828.jpg
 
Maada ijayo tutachambua utumwa wa wazungu na mateso yao Kwa Babu zetu: vile vile maada hii usije ukaichanganya na Ukristo.View attachment 3537704
ukiangalia kwa makini sio waarabu wote ni weupe wapo weusi, na idadi ya hao watumwa waliopelekwa huko walikua ni wachache na walichanganyika na waarabu......kwa nchi za ulaya na amerika watumwa walikuwa wametengwa peke yao kwa muda mrefu na hivyo wakazaliana wenyewe kwa wenyewe ndio maana unaona huko watu weusi ni wengi.
Na sio watumwa wote walipekwa uarabuni wengine walibaki zanzibar ndio wale wanaoitwa wanyamwezi.
 
Wazee wa kukata vichwa
 
Ebu soma vyema huu uzur ndo utaelewa nn nilicho sema
 
Waarabu hawakufanya utumwa kama biashara bali utamaduni wao na asili yao.
Ila mzungu ndo alikuja kuufanya utumwa kuwa ni biashara RASMI.hili hauwezi kufundishwa shuleni
 
OCT 29 LAST year niliamini muarabu ni kiumbe katili mno...binafs bado nasisimkwa damu nikikumbuka, polisi alivyo. hata msimamizi wa uchaguzi hakuthamini wengine walitelekezwa. Mwaka 2020 Magu aliwaongeza posho, Muarabu aliwatelekeza mtaani na mabomu juu
 
Mafirauni Sana hao mabedui walikuwa wanawahasi kama ngombe ili wasizaliane au wawazalishe mabinti na wake zao. Lakini Kuna baadhi ya mbuzi inafuga ndevu kama beberu na kuiwekea inna. Unaamini mwarabu ni ukoo wa Mungu na hivyo wanamtuata kwa Kila jambo. lugha, vyakula, roho mbaya, dini nk
 
Nimekusoma vizuri sana kwa yote uliyoyaandika.

Ila kwa uchambuzi wako na jinsi ulivyoandika nimejua kabisa Aidha umesoma sehemu au umehadithiwa.

Nasema hivyo kwa sababu mimi nimeishi miaka kumi huko Uarabuni.
Na sio nchi moja Bali nchi karibu zote za Middle East
Iwe kuanzia KSA, Iraq, Q8 na hata Bahrain na UAE na hata Jordan na Syria kote huko nimefika na zingine nimefanya kazi kabisa.
Sasa turudi kwenye mada hii na husussn watu weusi na uwepo wao Mashariki ya Kati.

Kusema la kweli nimewaona watu weusi tena vizazi na vizazi tena pure black

Kweli walitengwa na huenda hawakupelekwa wengi sana huko.

Ila nchi kama Saudia wamejitenga au kutengwa na kuwa na sehemu yao inayoitwa “Hara’a tul Abid na kazi za ni duni sana na kubwa ni kuchimba makaburi

Na ukienda Kuwait hali ni tofauti kabisa maana wao wameshika nyadhifa kubwa nyingi sana na mpaka Airforces wameshika wao
Mpaka kuna wakati Amir wao mmoja (marehemu) alikuwa mweusi. Maana Amir ( baba yake alikuwa mweupe na alimuoa kijakazi wake mweusi
Hapo akazaliwa Sheikh Saad bin Abdallah Al Sabah.
Ndio wapo hata Iraq weusi nimewaona kwa macho
Na pia niimewahi kufanya kazi na M Palestine mweusi.

Wenye asili ya Africa wanatambulika kama ni wazawa wa nchi hizo na kupewa Uraia tangu enzi.

Kwa sasa Q8 wameamua kuwanyanganya Uraia watu wengi waliopewa ila wame revoke kwa sababu hawakuwa halali

Ila watu weusi hawakuguswa kabisa

Huu ndio ukweli nilioushuhudia kwa macho yangu wala sikuhadhiwa wala kukariri ya vijiweni 😂
 
Back
Top Bottom