Waarabu na Wayahudi kuungana na kubuni NATO yao, ndio imekuwa mbinu za kujilinda sasa

Sio kwamba NATO wameamua kuja kivingine. Kwa sababu mbinu za zamani zinaanza kufeli. Mtahisi ni waarabu kumbe ni nato haohao

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

NATO wameshatimiza malengo yao ya kumsukumiza Mrusi mpaka akadhihirisha udhaifu wake, kashindwa kufumua kataifa jirani yake hapo, ameingia hasara hadi basi na hamna kikubwa alichofaulu.

Siku zote hata kitaani usipende maugomvi ugomvi watu wakusome kwamba huna nguvu... waendelee kukuona kama lijitu lenye sura mbaya na roho mbaya.
 
Ndo maana Russia Ni dhaifu Sana . Ukraine nayo yaendelea kuchukua maeneo ya Russia. Hali Ni mbaya . Sweden nayo imeendelea kuchukua maeneo Kama St Petersburg, nk. Huko magharibi Jimbo la kaliningrad limechukuliwa na ujerumani hivyo kulirudisha nyumbani.
Nb. Upande was Mashariki ya mbali occupied Japanese island of Sakhalin imechukuliwa na kurudishwa kwa utawala wa Japan.
Vita imezidi kuwa mbaya zaidi huko Mashariki ya Kati kwani kambi zake katika Syria zimeshambuliwa na majeshi ya Russia yamesalimu amri.
Kwingineko , wakati Moscow ikipitia kipindi kigum Cha mashambulio mazito ya Makombora kutoka Lithuania , Rais Vladmir Putin inasemwa ameshauriwa kutangaza kushindwa kwa Russia Vitani kwani Tayari pia nchi ya Georgia imeendelea kusonga mbele baada ya kuyarudisha majimbo yake yaliyochukuliwa ya Abkazhia na Transinitria. X
Majeshi ya Russia yanaelekea kukosa silaha na chakula hivyo basi kwa siku sita zijazo kutakua na anguko kubwa la kile kiitwacho taifa kubwa la Urusi.
To be continued....

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mmarekani kwa sasa kama mdoli tu hakuna anaemuogopa,,, hadi best yake anampiga za mbavu.........aaangalie tu hao Opec wasije wakaamua kuiacha dola au kuongeza sarafu nyingine kwenye manunuzi ya mafuta.....
Screenshot_20220717-095509_Sputnik.jpg
Screenshot_20220717-095544_Sputnik.jpg
 
Hivi Afrika kwanini tusiunde Umoja wetu wa kujilinda?
Hiyo alliance itakua funded by USAID au EU au SIDA😁😁😁
Nakumbuka yale maonesho ya miaka 60 ya uhuru pale taifa. Sijui mabeberu walikua wanaonaje outdated techs zao zinavyokua alfa na omega afrika🥺🥺
 
Back
Top Bottom