Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 48,285
- 34,795
Nipo na jamaa zangu kutoka Ulaya, ambao ni waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kutoka, Finland, Norway, Denmark, Estonia pamoja Lativia.
Jumatatu asubuhi tunaelekea Igunga kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga mkoani Tabora. Pia katika ujumbe huo tutakuwa na afisa wa masuala ya siasa, jinsia na haki za binadamu Dr Nilsen Michael, kutoka Sweden.
Tajitaidi kuwaletea habari za uchaguzi Jimbo la Igunga, na naomba mtuombee tufike salama Jimbo la Igunga Mungu ibariki Igunga Mungu ibariki Tanzania