Waandishi wa habari walivyo dhalilishwa na ikulu ya Kikwete

Mimi siyo Mwandishi wa habari lakini kuna mchangiaji kaongea suala la msingi ambalo mtoa hoja angepaswa kujiuliza kwanza kabla ya kutoa hoja. Chombo cha habari kikipewa mwaliko kwa ajili ya ku cover shughuli fulani ina kinatakiwa kilipiwe gharama zake za hiyo coverage? This is the main issue. Kama Ikulu ilitakiwa kuwalipia, kuwapa chakula, malazi na usafiri, basi walidhalilishwa, kama Ikulu haikutakiwa basi wamejidhalilisha! period. Lakini cha msingi ni independence ya hawa waandishi wa habari au hicho chombo cha habari. Mkianza kulipiwa na kupanda ndege ya rais basi mnatakiwa kuwa subservient kwa serikali na rais wake.
Lakini vilevile usalama wenu kama waandishi wa habari ni kwa kuuzingatia. Ni lazima mfanye mambo yenu kwa umakini. Mnaindika serikali na kuipinga wazi wazi lazima muwe makini kwamba hawatafanya lolote la kuwadhuru including kuwabambikia kesi za ajabu ajabu. Lingetokea tatizo kwenye ndege na wewe raia mwandishi wa habari umo huchelewi kuwa prime suspect kwa makusudi tu. Watch your actions and movements!

Mbona muhusika harudi kutoa ukweli wa mambo? Au kukaa kwake kimya anaonesha kakabwa koo na wasomaji wa thread? Au mwandishi mwingine aliekuwepo kwenye huo msafara amwage facts hapa bana.
 
Mbona muhusika harudi kutoa ukweli wa mambo? Au kukaa kwake kimya anaonesha kakabwa koo na wasomaji wa thread? Au mwandishi mwingine aliekuwepo kwenye huo msafara amwage facts hapa bana.

Hawezi kurudi tena. Mme mshambulia mno.
 
Back
Top Bottom