Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,334
- 24,229
Waandishi wetu wa habari katika miaka ya karibuni wamekuwa na quality idiyoridhisha, kwa kile wanachotulisha walaji wa habari.
Habari zinazo chapishwa ukitazama kwa makini sana huwa ni zile zilizotolewa na watoa habari na si zilixotafutwa na waandishi wa habari.
Hii ni changamoto kubwa sana, kwani habari za kuzitafuta mitaani, maofisini, hata huko vijijini ni nyingi mno.
Nenda pale Maelezo hata sasa hivi, na utakuta vijana wamejazana lale kusubiri kuletewa habari, na si kuxitafuta.
Tunaweza kusema si kosa lao kwani vyombo vingi vya habari havina mpango mkakati mzuri wa kutafuta, kuchambua na kuziweka habari hadharani.
Kwa mfano, masuala la makontena yaliyotoka bandarini bila kulipiwa ushuru , ningetegemea waandishi makini kufuatilia hiyo habari hadi kuuvulumbua mtandao mzima ulivyoshiriki, na kutuonyesha mhusika mkuu haswa toka serikalini alikuwa nani.
Sasa wenzetu wanatazamia habari, zile tunaweza kusema ni stage managed, habari zilizotengenezwa.
Mbaya zaidi, vyombo vingi haviajiri waandishi wataalam katika fani zao katika afya, uhandisi, ualimu.uchumi n.k.
Wanategemea zaidi vijana hawahawa waliomaliza kidato cha nne au sita kuandika habari nzito xilizo juu ya uwezo wao wa uelewa.
Hapo kutegemea weledi katika uandishi itakuwa ndoto.