Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Chadema Kimenuka!
Wewe ukijuwa huu wenzako wanajuwa ule. Kazi kwako.
Katika zile tuhuma 11 za Zitto hakuna tuhuma ya kunyongwa hadi kufa?
Last edited by a moderator:
Chadema Kimenuka!
Wewe ukijuwa huu wenzako wanajuwa ule. Kazi kwako.
Chadema Kimenuka!
.......
Nimeongeza 'size' ya maneno mpaka namba 4 ili ulione vizuri na nikalipaka na rangi ya kijani uzidi kuvutika kulitazama. Baada ya hapo narejea swali langu. Je. FaizaFoxy unajua asili ya hilo neno nililopaka rangi ya kijani?
Nimekubadilisha sasa nimekuwekea rangi inayofanana na ya njano. FaizaFoxy, unajua asili ya hilo neno? Kwa kukusaidia ili ujue asili yake (kama kweli hujui), ni kuwa neno hili kimenuka linatokana na neno nuka (kwa kiingereza ni smell bad). Neno hili, huko nyuma, liliwahi kupata umaarufu katika masuala ya uongozi wa nchi ya Tanzania, pale lilipotumiwa na Baba wa Taifa [Mwl. Julius Kambarage Nyerere (R.I.P)] kuonyesha jinsi rushwa ilivyokuwa imekithiri nchini. Baba wa Taifa alisema najaribu kunukuu " aka kanchi kananuka, kananuka RUSHWA"...Na kweli kalikuwa kananuka kwa rushwa...kwa sasa nadhani FF unajua kako katika hali gani kwa rushwa. Neno hili Kimenuka limekuja kwa staili tofauti.

Neno hili Kimenuka (ili nitofauti na Kunuka,kananuka ingawa mzizi wa maneno haya ni nuka) limepata umaarufu siku za hivi karibuni...ambapo masuala ya kuimiza watu watengeneze mahusiano ya kustareheshana ki-ibilisi na kishetani kwa kutumia njia na viungo katika namna isiyofaa ya kimaumbile...
Chris Lukosi kama sijakosea alipost neno hili katika uzi huu hapa>>>https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-alikuwa-anamaanisha-nini-31.html#post5904027
Kuna mjumbe mmoja, hapa jukwaani, alimtahadhari kuhusu matumizi ya neno hili kwani linaendana na lugha zitumiwazo na wale watu niliowaeleza kwenye haya ya pili ya bandiko hili.
USHAURI: FaizaFoxy...chukua tahadhari pindi unapochagua maneno ya kutumia hapa jukwaani. Pia ukipata nafasi wafahamishe hata na waandishi wa habari wa magazeti pendwa kwa baadhi ya vyama wawe na tahadhari wanapochagua maneno ya kutumia kwenye vichwa vya habari zao. Hili neno KIMENUKA halistahili kutumiwa na watu makini wanapoelezea hoja za maana.
Watu walumumba wanakuja mda simrefu ngoja watoke makanisani.
Chadema Kimenuka!
Katika zile tuhuma 11 za Zitto hakuna tuhuma ya kunyongwa hadi kufa?
Mkuu watu wa Lumumba huwa wanaishi na shetani, labda kwakuwa ni weekend ungesema ngoja watoke gesti
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Post namba 25 niliandika hivi:
USHAURI: FaizaFoxy...chukua tahadhari pindi unapochagua maneno ya kutumia hapa jukwaani. Pia ukipata nafasi wafahamishe hata na waandishi wa habari wa magazeti pendwa kwa baadhi ya vyama wawe na tahadhari wanapochagua maneno ya kutumia kwenye vichwa vya habari zao. Hili neno KIMENUKA halistahili kutumiwa na watu makini wanapoelezea hoja za maana.
Na kwa kuwa umejidhihirisha kuwa wewe (FaizaFoxy ) siyo mtu makini, sasa nami nijiridhisha toka sasa nikupuuza katika masuala muhimu kwa mstakabali wa nchi yetu..
Wana CDM tu ndio waumi wengine wooote wapagani cio?Wanakwenda kanisani wale? Wapagani wakubwa wale. Sema tu wamelala na hang- over tusubiri tu waamke!!!!
Tatizo waandishi wengi wa habari hufanyia kazi vibaasha vya khaki
Tuliambiwa mjadala wa kina ZZK umefungwa, lakini leo wameita waandishi kinondoni..... Hii ni hatari sana kwa mstakabali wa chama!
Hakika wenye nia mbaya na chama lazima watafurahia kinachotokea leo cdm.
Binafsi niliona hekma za katibu mkuu aliposema mjadala wa Zitto umefungwa, lakini kama hili tunalosikia linaenda kufanyika leo ni kweli basi ccm watakuwa wanefanikiwa kututoa kwenye tunanachokisimamia kama chama
Leo bei ya umeme imepanda zaidi ya 68% wananchi walitegemea Chadema iwasemee lakin badala yake chama kiko busy na migogoro!!
Inatosha sasa! Tujenge chama
Chadema niTaasisi kama zilivyo taasisi nyingine kwa maana inaendeshwa kwa kufuata misingi waliyokubaliana. Kikubwakinachowaunganisha ni malengo ya pamoja waliyokubaliana na ili malengo hayoyaweze kutimia walitengeneza Katiba, kanuni, mikakati na sera mbali mbali zakufikia malengo yao.
Malengo ya taasisiya Chadema kama zilivyo taasisi nyingine za siasa (vyama vya siasa) ni kuchukuadola. Kufikia lengo hili linahitaji umoja, kuaminiana, kushirikiana na uongozibora. Tofauti na hayo ni ngumu kufikia malengo yao kwa sababu ili kupata dolalazima kuuaminisha umma mnaweza kuwanganisha wananchi wote (wanachama na wasiowanachama) mtadumisha amani, umoja na upendo kwa wananchi wote ikiwa ni pamojana kuleta maendeleo ya nchi.
Ni msingihuu ndio chanzo cha uandaaji wa katiba na kanuni za vyama vya siasa inayotakaviongozi wake wawe waadilifu, wasiwe na makundi, wasiwe na matabaka, udini amakitu chochote kinachoweza kudhoofisha umoja wa chama cha siasa (fanya rejeokwenye katiba za CUF, CDM, CCM, NCCR nk ) utaona vyote vinaonyesha bayanaviongozi katika ngazi zote wasiwe na makundi.
Katiba zavyama zimeonesha muundo wa uongozi katika ngazi zote kuanzia ngazi ya taifahadi shina, zimeonisha kazi na majukumu ya viongozi na vyombo mbali mbali zamaamuzi katika chama husika. Katiba hizi zimesajiliwa kwenye ofisi ya msajiliwa vyama pamoja na marekebisho yanayofanywa mara kwa mara. Ili kukipa chamachochote cha siasa uhalali kinasijiliwa kwa msajili wa vyama na kupewa cheticha usajili.
Mojawapo yajambo linaloweza kufanya chama chochote cha siasa kufutiwa usajili ni pamoja na kushindwa kuifuata misingi ya katibayake. Hii ni kulinda maslahi ya wanachama kutopokwa haki zao katika vyama hivyovya siasa.
Nirudie hojayangu kwa CHADEMA, nimeshangazwa sana na namna habari zinaandikwa hata namagazeti yaliyobobea kwenya kuandika habari kwa kina na umakini wa hali ya juuwameshindwa kuandika habari badala yake wameandika mipasho. Waandishi wote wamejikitaama kumtetea Zitto au Mbowe na kusahau Mbowe na Zitto sio taasisi, bali taasisini CDM.
Hapa natakakusema sio mbowe aliyefanya maamuzi bali ni mojawapo ya vyombo vya maamuzi vyataasisi ya CDM ndio iliyoamua kuwaengua watendaji wake kwa kutotimiza wajibuwao kisheria ikiwa ni pamoja na kuvunja kanuni na sheria ya taasisi hiyo.
Mfano: Zittoni Naibu Katibu mkuu (katibu mkuu ndio mtendaji mkuu na yeye ndio msaidiziwake). Katibu mkuu na msaidizi wake ndio waandaji wa mikutano yote ya vyombovikuu vya taasisi hiyo, Je mara ngapi Zitto ameshiriki katika kutekeleza jukumulake hilo?
Zitto kamamtendaji mkuu msaidizi alipaswa kushiriki kikamilifu shughuli mbali mbali zauimarishaji za chama, lakini tumeona na tumesoma hapa jamvini mara nyingi malalamikoya wadau kwa nini Zitto hashiriki badala yake anakuwa busy na mambo mengineambayo sio ya kichama?
DOKEZO: Zitto alipewa ticketi na (taasisi yaCDM) ili kuupata ubunge, Ubunge ndio uliompatia kuwa mwanakamati wa PAC nakupitia chama(taasisi- chama kikuu cha upinzani) ndio ukampatia uenyekiti.Maana yake CDM ndio msingi wa mambo yooote na vyeo vyote alivyonavyo bungeni.Hivyo vikao vya chama chake ni muhimu sana kwake kwa uhai wa majukumu yake yakisiasa.
Kwa mfanohuo mdogo, taasisi inayo uwezo wa kuhoji na kujiridhisha kama mwanachama wao nakiongozi wao huyo anao uwezo wa kufanya majukumu yake kichama na kibunge.Kwangu mimi kama Zitto atajitetea kuwa na majukumu ya PAC yanamfanya anashindwekutekeleza majukumu yake ya unaibu katibu mkuu basi hawezi kuwa kiongozi wakitaifa kwani moja wapo ya sifa kuu ya kiongozi wa kitaifa ni uwezo wa kufanyakazi nyingi kwa wakati mmoja (multi tasking).
Kama kamatikuu, ama chombo kingine chochote kimeona kiongozi Fulani hawezi kutimiza majukumuyake kisheria na kikao hicho kimekaa kisheria (ni halali) basi sisi ni nanitukishutumu kikao hicho? Wengi wetu si wanachama wa taasisi husika (kama ilivyokwa wanaCCM wametoa matamko mengi wakati wao si wanaCDM) kushutumu maamuzihayakuwa ya haki, kwa nini tuwaamulie watu wengine mambo yasiyotuhusu?
Mbaya zaiditumeenda mbali na kusema Zitto kavuliwa uongozi na Mbowe, hivi Mbowe ndiokamati kuu?
Baada ya Mbowe kukaa kimya naona sasa Lisu anashambuliwa nawaandishi wa habari wamuandika bila kuanisha ni wapi Mbowe ama Lisu ama Kamatikuu imevunja sheria? Na kama kamati kuu imevunja sheria mbona waliotendewa hawajakatarufaa ama kupeleka malalamiko yao kwa msajili wa vyama?
Hojailitolewa kuwa Zitto na wenzake wamevuliwa uongozi kwa tuhuma kumi na moja(11). Mojawapo ni ule waraka walioundika na wao kukiri hadharani waliuandika. Kamakuna hoja kumina moja walizotuhumiwa nazo mbona hizo nyingine kumi hawaziwekihadharani ili tuweze kupima kwa uhakika wameonewa ama kamati kuu ilikosea.
Waandishi wahabari mmekuwa mkiandika wiki nzima sasa habari ya MPASUKO CHADEMA lakini badommeshindwa kusema ni mpasuko wa kweli ama la. Ili useme ni mpasuko lazimatuweze kuonesha ni kwa namna gani viongozi wa CDM wameshindwa kuifuata sheria zao(katiba) na kuanza kudeal na mtu mmoja moja.
Ni lazima waandishi mtuoneshe niwapi sheria imevunjwa ili kundi la wakaskazini, dini fulani ama kada fulani lifaidike, vinginevyo magazetiyote yanafanya kazi ya propaganda za vyama vingine vya siasa na kuacha kaziyenu ya msingi ya kuhabarisha umma bila upendeleo. Ili kuwe na mpasuko kwenyetaasisi yeyote lazima misingi ya sheria iwekwe kando (utawala wa kiimla), jewaandishi mbona hamjaweka hili wazi.
Kwa definitionfupi kabisa: Mgogoro ni hali ya kutoelewana kati ya pande mbili. Kutoelewana hukokunasababishwa kwa pande zote ama mojawapo kutoona pande mbili za shilling. Migogorokwenye taasisi yeyote inayokuwa ni muhimu saaana. Maana migogoro husaidiakuijenga taasisi kwa namna nyingi. Moja kama kuna kosa lililofanywa linakuwafundisho kwa maamuzi mengine ya baadae yenye mazingira sawa na ya awali.
Pilimigogoro inasaidia kuibua hisia za ndani za wadau ambazo bila mazingira kamahayo zisingeweza kujitokeza. Tatu inasaidia kuona kama wadau wote wanamaonosawa ama kuna ambao wana maono ya karibu ama ya mbali (hii wakati mwingine nichanzo cha mgogoro).
Hivyo Basiningependa kuhitimisha hoja yangu kwa kuomba mambo yafuatayo yazingatiwe na pandezote zinazopambana na zaidi waandishi wa habari
ZITTO na wenzake: Tumeambiwa mmefukuzwa kwa tuhuma kumi na moja ila moja tu ndiotumeambiwa hivyo tuwekeeni hizo kumi zilizobakia tuzifahamu tupime nani mkweli.
Chadema: Kunahaja ya kutoa ufafanuzi wa namna taasisi yenu inafanya kazi na majukumu yakamati kuu hasa kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla ili kuondoasintofahamu inayojitokeza kwamba ni Mbowe na Lisu waliomvua madaraka Zitto nawenzake.
Waandishi:Jikitenikwenye kuandika habari zilizosahihi kwa kuangalia CDM kama taasisi na misingiyake ya uongozi, kuandika habari za kichunguzi zaidi kuhusu suala hilo, kutupakwa kina tuhuma 11 walizotuhumiwa kina zitto badala ya matamko ambayo mengi CCMilikua ikiyatumia muda mrefu (udini, ukanda, nk)
Karibuni kwa mjadala mpana zaidi
demu kuwa muongo noma sana aisee! iko siku utaweka sukariChadema kimenuka!
Nilikuwa naongea na Anko Zomba wa Kariakoo akanitonya kuwa "System at Work". Hakuna chochote zaidi ya kupunguza makali ya chadema kwenye siasa, akaendelea kusema kuwa "Mbowe, Zitto, Slaa na wengine wengi wote hao ni "system", wote ni wamoja na wanajuwa walifanyalo.
demu kuwa muongo ni noma sana ! iko siku utaweka sukari kwenye mboga we dada kha!
Akaendelea kwa kusema kuwa muulizeni Lyatonga Mrema kwa umri alionao sasa atawafungulia na kuwawekea wazi kila kitu kwani kwa sasa hana cha kupoteza.
Nawaomba waandishi wa habari wenye kupenda kujuwa ukweli, wamuone mzee Mrema na wakae nae muda mrefu wakimdadisi kuhusu "system" kinachojiri sasa na kilichojiri wakati wake. Ukweli mtaoupata mje kutuwekea wazi humu na kwa Watanzania wengine.
My take; Kumbe ni chezo la kuigiza!
Chadema niTaasisi kama zilivyo taasisi nyingine kwa maana inaendeshwa kwa kufuata misingi waliyokubaliana. Kikubwakinachowaunganisha ni malengo ya pamoja waliyokubaliana na ili malengo hayoyaweze kutimia walitengeneza Katiba, kanuni, mikakati na sera mbali mbali zakufikia malengo yao.
Malengo ya taasisiya Chadema kama zilivyo taasisi nyingine za siasa (vyama vya siasa) ni kuchukuadola. Kufikia lengo hili linahitaji umoja, kuaminiana, kushirikiana na uongozibora. Tofauti na hayo ni ngumu kufikia malengo yao kwa sababu ili kupata dolalazima kuuaminisha umma mnaweza kuwanganisha wananchi wote (wanachama na wasiowanachama) mtadumisha amani, umoja na upendo kwa wananchi wote ikiwa ni pamojana kuleta maendeleo ya nchi.
Ni msingihuu ndio chanzo cha uandaaji wa katiba na kanuni za vyama vya siasa inayotakaviongozi wake wawe waadilifu, wasiwe na makundi, wasiwe na matabaka, udini amakitu chochote kinachoweza kudhoofisha umoja wa chama cha siasa (fanya rejeokwenye katiba za CUF, CDM, CCM, NCCR nk ) utaona vyote vinaonyesha bayanaviongozi katika ngazi zote wasiwe na makundi.
Katiba zavyama zimeonesha muundo wa uongozi katika ngazi zote kuanzia ngazi ya taifahadi shina, zimeonisha kazi na majukumu ya viongozi na vyombo mbali mbali zamaamuzi katika chama husika. Katiba hizi zimesajiliwa kwenye ofisi ya msajiliwa vyama pamoja na marekebisho yanayofanywa mara kwa mara. Ili kukipa chamachochote cha siasa uhalali kinasijiliwa kwa msajili wa vyama na kupewa cheticha usajili.
Mojawapo yajambo linaloweza kufanya chama chochote cha siasa kufutiwa usajili ni pamoja na kushindwa kuifuata misingi ya katibayake. Hii ni kulinda maslahi ya wanachama kutopokwa haki zao katika vyama hivyovya siasa.
Nirudie hojayangu kwa CHADEMA, nimeshangazwa sana na namna habari zinaandikwa hata namagazeti yaliyobobea kwenya kuandika habari kwa kina na umakini wa hali ya juuwameshindwa kuandika habari badala yake wameandika mipasho. Waandishi wote wamejikitaama kumtetea Zitto au Mbowe na kusahau Mbowe na Zitto sio taasisi, bali taasisini CDM.
Hapa natakakusema sio mbowe aliyefanya maamuzi bali ni mojawapo ya vyombo vya maamuzi vyataasisi ya CDM ndio iliyoamua kuwaengua watendaji wake kwa kutotimiza wajibuwao kisheria ikiwa ni pamoja na kuvunja kanuni na sheria ya taasisi hiyo.
Mfano: Zittoni Naibu Katibu mkuu (katibu mkuu ndio mtendaji mkuu na yeye ndio msaidiziwake). Katibu mkuu na msaidizi wake ndio waandaji wa mikutano yote ya vyombovikuu vya taasisi hiyo, Je mara ngapi Zitto ameshiriki katika kutekeleza jukumulake hilo?
Zitto kamamtendaji mkuu msaidizi alipaswa kushiriki kikamilifu shughuli mbali mbali zauimarishaji za chama, lakini tumeona na tumesoma hapa jamvini mara nyingi malalamikoya wadau kwa nini Zitto hashiriki badala yake anakuwa busy na mambo mengineambayo sio ya kichama?
DOKEZO: Zitto alipewa ticketi na (taasisi yaCDM) ili kuupata ubunge, Ubunge ndio uliompatia kuwa mwanakamati wa PAC nakupitia chama(taasisi- chama kikuu cha upinzani) ndio ukampatia uenyekiti.Maana yake CDM ndio msingi wa mambo yooote na vyeo vyote alivyonavyo bungeni.Hivyo vikao vya chama chake ni muhimu sana kwake kwa uhai wa majukumu yake yakisiasa.
Kwa mfanohuo mdogo, taasisi inayo uwezo wa kuhoji na kujiridhisha kama mwanachama wao nakiongozi wao huyo anao uwezo wa kufanya majukumu yake kichama na kibunge.Kwangu mimi kama Zitto atajitetea kuwa na majukumu ya PAC yanamfanya anashindwekutekeleza majukumu yake ya unaibu katibu mkuu basi hawezi kuwa kiongozi wakitaifa kwani moja wapo ya sifa kuu ya kiongozi wa kitaifa ni uwezo wa kufanyakazi nyingi kwa wakati mmoja (multi tasking).
Kama kamatikuu, ama chombo kingine chochote kimeona kiongozi Fulani hawezi kutimiza majukumuyake kisheria na kikao hicho kimekaa kisheria (ni halali) basi sisi ni nanitukishutumu kikao hicho? Wengi wetu si wanachama wa taasisi husika (kama ilivyokwa wanaCCM wametoa matamko mengi wakati wao si wanaCDM) kushutumu maamuzihayakuwa ya haki, kwa nini tuwaamulie watu wengine mambo yasiyotuhusu?
Mbaya zaiditumeenda mbali na kusema Zitto kavuliwa uongozi na Mbowe, hivi Mbowe ndiokamati kuu?
Baada ya Mbowe kukaa kimya naona sasa Lisu anashambuliwa nawaandishi wa habari wamuandika bila kuanisha ni wapi Mbowe ama Lisu ama Kamatikuu imevunja sheria? Na kama kamati kuu imevunja sheria mbona waliotendewa hawajakatarufaa ama kupeleka malalamiko yao kwa msajili wa vyama?
Hojailitolewa kuwa Zitto na wenzake wamevuliwa uongozi kwa tuhuma kumi na moja(11). Mojawapo ni ule waraka walioundika na wao kukiri hadharani waliuandika. Kamakuna hoja kumina moja walizotuhumiwa nazo mbona hizo nyingine kumi hawaziwekihadharani ili tuweze kupima kwa uhakika wameonewa ama kamati kuu ilikosea.
Waandishi wahabari mmekuwa mkiandika wiki nzima sasa habari ya MPASUKO CHADEMA lakini badommeshindwa kusema ni mpasuko wa kweli ama la. Ili useme ni mpasuko lazimatuweze kuonesha ni kwa namna gani viongozi wa CDM wameshindwa kuifuata sheria zao(katiba) na kuanza kudeal na mtu mmoja moja.
Ni lazima waandishi mtuoneshe niwapi sheria imevunjwa ili kundi la wakaskazini, dini fulani ama kada fulani lifaidike, vinginevyo magazetiyote yanafanya kazi ya propaganda za vyama vingine vya siasa na kuacha kaziyenu ya msingi ya kuhabarisha umma bila upendeleo. Ili kuwe na mpasuko kwenyetaasisi yeyote lazima misingi ya sheria iwekwe kando (utawala wa kiimla), jewaandishi mbona hamjaweka hili wazi.
Kwa definitionfupi kabisa: Mgogoro ni hali ya kutoelewana kati ya pande mbili. Kutoelewana hukokunasababishwa kwa pande zote ama mojawapo kutoona pande mbili za shilling. Migogorokwenye taasisi yeyote inayokuwa ni muhimu saaana. Maana migogoro husaidiakuijenga taasisi kwa namna nyingi. Moja kama kuna kosa lililofanywa linakuwafundisho kwa maamuzi mengine ya baadae yenye mazingira sawa na ya awali.
Pilimigogoro inasaidia kuibua hisia za ndani za wadau ambazo bila mazingira kamahayo zisingeweza kujitokeza. Tatu inasaidia kuona kama wadau wote wanamaonosawa ama kuna ambao wana maono ya karibu ama ya mbali (hii wakati mwingine nichanzo cha mgogoro).
Hivyo Basiningependa kuhitimisha hoja yangu kwa kuomba mambo yafuatayo yazingatiwe na pandezote zinazopambana na zaidi waandishi wa habari
ZITTO na wenzake: Tumeambiwa mmefukuzwa kwa tuhuma kumi na moja ila moja tu ndiotumeambiwa hivyo tuwekeeni hizo kumi zilizobakia tuzifahamu tupime nani mkweli.
Chadema: Kunahaja ya kutoa ufafanuzi wa namna taasisi yenu inafanya kazi na majukumu yakamati kuu hasa kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla ili kuondoasintofahamu inayojitokeza kwamba ni Mbowe na Lisu waliomvua madaraka Zitto nawenzake.
Waandishi:Jikitenikwenye kuandika habari zilizosahihi kwa kuangalia CDM kama taasisi na misingiyake ya uongozi, kuandika habari za kichunguzi zaidi kuhusu suala hilo, kutupakwa kina tuhuma 11 walizotuhumiwa kina zitto badala ya matamko ambayo mengi CCMilikua ikiyatumia muda mrefu (udini, ukanda, nk)
Karibuni kwa mjadala mpana zaidi
demu kuwa muongo noma sana aisee! iko siku utaweka sukari
kwenye mboga wee dada kha!
Hivi wewe hutii sukari kwenye mboga? mshamba kweli wewe. Kajifundishe kupika.