Waandishi wa habari, CHADEMA ni taasisi

Waandishi wa habari, CHADEMA ni taasisi

Kichakoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2008
Posts
3,429
Reaction score
6,395
Chadema niTaasisi kama zilivyo taasisi nyingine kwa maana inaendeshwa kwa kufuata misingi waliyokubaliana. Kikubwakinachowaunganisha ni malengo ya pamoja waliyokubaliana na ili malengo hayoyaweze kutimia walitengeneza Katiba, kanuni, mikakati na sera mbali mbali zakufikia malengo yao.

Malengo ya taasisiya Chadema kama zilivyo taasisi nyingine za siasa (vyama vya siasa) ni kuchukuadola. Kufikia lengo hili linahitaji umoja, kuaminiana, kushirikiana na uongozibora. Tofauti na hayo ni ngumu kufikia malengo yao kwa sababu ili kupata dolalazima kuuaminisha umma mnaweza kuwanganisha wananchi wote (wanachama na wasiowanachama) mtadumisha amani, umoja na upendo kwa wananchi wote ikiwa ni pamojana kuleta maendeleo ya nchi.

Ni msingihuu ndio chanzo cha uandaaji wa katiba na kanuni za vyama vya siasa inayotakaviongozi wake wawe waadilifu, wasiwe na makundi, wasiwe na matabaka, udini amakitu chochote kinachoweza kudhoofisha umoja wa chama cha siasa (fanya rejeokwenye katiba za CUF, CDM, CCM, NCCR nk ) utaona vyote vinaonyesha bayanaviongozi katika ngazi zote wasiwe na makundi.

Katiba zavyama zimeonesha muundo wa uongozi katika ngazi zote kuanzia ngazi ya taifahadi shina, zimeonisha kazi na majukumu ya viongozi na vyombo mbali mbali zamaamuzi katika chama husika. Katiba hizi zimesajiliwa kwenye ofisi ya msajiliwa vyama pamoja na marekebisho yanayofanywa mara kwa mara. Ili kukipa chamachochote cha siasa uhalali kinasijiliwa kwa msajili wa vyama na kupewa cheticha usajili.

Mojawapo yajambo linaloweza kufanya chama chochote cha siasa kufutiwa usajili ni pamoja na kushindwa kuifuata misingi ya katibayake. Hii ni kulinda maslahi ya wanachama kutopokwa haki zao katika vyama hivyovya siasa.

Nirudie hojayangu kwa CHADEMA, nimeshangazwa sana na namna habari zinaandikwa hata namagazeti yaliyobobea kwenya kuandika habari kwa kina na umakini wa hali ya juuwameshindwa kuandika habari badala yake wameandika mipasho. Waandishi wote wamejikitaama kumtetea Zitto au Mbowe na kusahau Mbowe na Zitto sio taasisi, bali taasisini CDM.

Hapa natakakusema sio mbowe aliyefanya maamuzi bali ni mojawapo ya vyombo vya maamuzi vyataasisi ya CDM ndio iliyoamua kuwaengua watendaji wake kwa kutotimiza wajibuwao kisheria ikiwa ni pamoja na kuvunja kanuni na sheria ya taasisi hiyo.

Mfano: Zittoni Naibu Katibu mkuu (katibu mkuu ndio mtendaji mkuu na yeye ndio msaidiziwake). Katibu mkuu na msaidizi wake ndio waandaji wa mikutano yote ya vyombovikuu vya taasisi hiyo, Je mara ngapi Zitto ameshiriki katika kutekeleza jukumulake hilo?

Zitto kamamtendaji mkuu msaidizi alipaswa kushiriki kikamilifu shughuli mbali mbali zauimarishaji za chama, lakini tumeona na tumesoma hapa jamvini mara nyingi malalamikoya wadau kwa nini Zitto hashiriki badala yake anakuwa busy na mambo mengineambayo sio ya kichama?

DOKEZO: Zitto alipewa ticketi na (taasisi yaCDM) ili kuupata ubunge, Ubunge ndio uliompatia kuwa mwanakamati wa PAC nakupitia chama(taasisi- chama kikuu cha upinzani) ndio ukampatia uenyekiti.Maana yake CDM ndio msingi wa mambo yooote na vyeo vyote alivyonavyo bungeni.Hivyo vikao vya chama chake ni muhimu sana kwake kwa uhai wa majukumu yake yakisiasa.

Kwa mfanohuo mdogo, taasisi inayo uwezo wa kuhoji na kujiridhisha kama mwanachama wao nakiongozi wao huyo anao uwezo wa kufanya majukumu yake kichama na kibunge.Kwangu mimi kama Zitto atajitetea kuwa na majukumu ya PAC yanamfanya anashindwekutekeleza majukumu yake ya unaibu katibu mkuu basi hawezi kuwa kiongozi wakitaifa kwani moja wapo ya sifa kuu ya kiongozi wa kitaifa ni uwezo wa kufanyakazi nyingi kwa wakati mmoja (multi tasking).

Kama kamatikuu, ama chombo kingine chochote kimeona kiongozi Fulani hawezi kutimiza majukumuyake kisheria na kikao hicho kimekaa kisheria (ni halali) basi sisi ni nanitukishutumu kikao hicho? Wengi wetu si wanachama wa taasisi husika (kama ilivyokwa wanaCCM wametoa matamko mengi wakati wao si wanaCDM) kushutumu maamuzihayakuwa ya haki, kwa nini tuwaamulie watu wengine mambo yasiyotuhusu?
Mbaya zaiditumeenda mbali na kusema Zitto kavuliwa uongozi na Mbowe, hivi Mbowe ndiokamati kuu?

Baada ya Mbowe kukaa kimya naona sasa Lisu anashambuliwa nawaandishi wa habari wamuandika bila kuanisha ni wapi Mbowe ama Lisu ama Kamatikuu imevunja sheria? Na kama kamati kuu imevunja sheria mbona waliotendewa hawajakatarufaa ama kupeleka malalamiko yao kwa msajili wa vyama?

Hojailitolewa kuwa Zitto na wenzake wamevuliwa uongozi kwa tuhuma kumi na moja(11). Mojawapo ni ule waraka walioundika na wao kukiri hadharani waliuandika. Kamakuna hoja kumina moja walizotuhumiwa nazo mbona hizo nyingine kumi hawaziwekihadharani ili tuweze kupima kwa uhakika wameonewa ama kamati kuu ilikosea.

Waandishi wahabari mmekuwa mkiandika wiki nzima sasa habari ya MPASUKO CHADEMA lakini badommeshindwa kusema ni mpasuko wa kweli ama la. Ili useme ni mpasuko lazimatuweze kuonesha ni kwa namna gani viongozi wa CDM wameshindwa kuifuata sheria zao(katiba) na kuanza kudeal na mtu mmoja moja.

Ni lazima waandishi mtuoneshe niwapi sheria imevunjwa ili kundi la wakaskazini, dini fulani ama kada fulani lifaidike, vinginevyo magazetiyote yanafanya kazi ya propaganda za vyama vingine vya siasa na kuacha kaziyenu ya msingi ya kuhabarisha umma bila upendeleo. Ili kuwe na mpasuko kwenyetaasisi yeyote lazima misingi ya sheria iwekwe kando (utawala wa kiimla), jewaandishi mbona hamjaweka hili wazi.

Kwa definitionfupi kabisa: Mgogoro ni hali ya kutoelewana kati ya pande mbili. Kutoelewana hukokunasababishwa kwa pande zote ama mojawapo kutoona pande mbili za shilling. Migogorokwenye taasisi yeyote inayokuwa ni muhimu saaana. Maana migogoro husaidiakuijenga taasisi kwa namna nyingi. Moja kama kuna kosa lililofanywa linakuwafundisho kwa maamuzi mengine ya baadae yenye mazingira sawa na ya awali.

Pilimigogoro inasaidia kuibua hisia za ndani za wadau ambazo bila mazingira kamahayo zisingeweza kujitokeza. Tatu inasaidia kuona kama wadau wote wanamaonosawa ama kuna ambao wana maono ya karibu ama ya mbali (hii wakati mwingine nichanzo cha mgogoro).

Hivyo Basiningependa kuhitimisha hoja yangu kwa kuomba mambo yafuatayo yazingatiwe na pandezote zinazopambana na zaidi waandishi wa habari

ZITTO na wenzake: Tumeambiwa mmefukuzwa kwa tuhuma kumi na moja ila moja tu ndiotumeambiwa hivyo tuwekeeni hizo kumi zilizobakia tuzifahamu tupime nani mkweli.

Chadema: Kunahaja ya kutoa ufafanuzi wa namna taasisi yenu inafanya kazi na majukumu yakamati kuu hasa kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla ili kuondoasintofahamu inayojitokeza kwamba ni Mbowe na Lisu waliomvua madaraka Zitto nawenzake.

Waandishi:Jikitenikwenye kuandika habari zilizosahihi kwa kuangalia CDM kama taasisi na misingiyake ya uongozi, kuandika habari za kichunguzi zaidi kuhusu suala hilo, kutupakwa kina tuhuma 11 walizotuhumiwa kina zitto badala ya matamko ambayo mengi CCMilikua ikiyatumia muda mrefu (udini, ukanda, nk)

Karibuni kwa mjadala mpana zaidi

Watu walumumba wanakuja mda simrefu ngoja watoke makanisani.
 
Tatizo waandishi wengi wa habari hufanyia kazi vibaasha vya khaki

Mlibebwa sana na hayo magazeti leo ni zamu yenu k utembea kwa miguu msilalamike, anyway tz daima lipo litaandika mazuri yote ya chama
 
uzi wako mrefu sana lakin m2 mwenye akili timamu atagundua uwezo wako wakufanya analysis bado ni mdgo kwan huoneshi nia yadhati ya kutafuta muafaka ndani ya chama zaid ya kujikita upande m1, yakuambiwa changany na zako!
 
Mkuu mi sijaclaim kuwa mtu makini saaana. Sasa wewe mwenye uwezo mkubwa hebu tupe analysis yenyew uelewa mpana. Vinginevyo kaa kimya. Kosoa nililoandika na si kuwa CHICHIDODO.
uzi wako mrefu sana lakin m2 mwenye akili timamu atagundua uwezo wako wakufanya analysis bado ni mdgo kwan huoneshi nia yadhati ya kutafuta muafaka ndani ya chama zaid ya kujikita upande m1, yakuambiwa changany na zako!
 
Chadema kimenuka!

Nilikuwa naongea na Anko Zomba wa Kariakoo akanitonya kuwa "System at Work". Hakuna chochote zaidi ya kupunguza makali ya chadema kwenye siasa, akaendelea kusema kuwa "Mbowe, Zitto, Slaa na wengine wengi wote hao ni "system", wote ni wamoja na wanajuwa walifanyalo.

Akaendelea kwa kusema kuwa muulizeni Lyatonga Mrema kwa umri alionao sasa atawafungulia na kuwawekea wazi kila kitu kwani kwa sasa hana cha kupoteza.

Nawaomba waandishi wa habari wenye kupenda kujuwa ukweli, wamuone mzee Mrema na wakae nae muda mrefu wakimdadisi kuhusu "system" kinachojiri sasa na kilichojiri wakati wake. Ukweli mtaoupata mje kutuwekea wazi humu na kwa Watanzania wengine.

My take; Kumbe ni chezo la kuigiza!
 
Tuliambiwa mjadala wa kina ZZK umefungwa, lakini leo wameita waandishi kinondoni..... Hii ni hatari sana kwa mstakabali wa chama!

Hakika wenye nia mbaya na chama lazima watafurahia kinachotokea leo cdm.

Binafsi niliona hekma za katibu mkuu aliposema mjadala wa Zitto umefungwa, lakini kama hili tunalosikia linaenda kufanyika leo ni kweli basi ccm watakuwa wanefanikiwa kututoa kwenye tunanachokisimamia kama chama

Leo bei ya umeme imepanda zaidi ya 68% wananchi walitegemea Chadema iwasemee lakin badala yake chama kiko busy na migogoro!!

Inatosha sasa! Tujenge chama
 
Chadema niTaasisi kama zilivyo taasisi nyingine kwa maana inaendeshwa kwa kufuata misingi waliyokubaliana. Kikubwakinachowaunganisha ni malengo ya pamoja waliyokubaliana na ili malengo hayoyaweze kutimia walitengeneza Katiba, kanuni, mikakati na sera mbali mbali zakufikia malengo yao.

Malengo ya taasisiya Chadema kama zilivyo taasisi nyingine za siasa (vyama vya siasa) ni kuchukuadola. Kufikia lengo hili linahitaji umoja, kuaminiana, kushirikiana na uongozibora. Tofauti na hayo ni ngumu kufikia malengo yao kwa sababu ili kupata dolalazima kuuaminisha umma mnaweza kuwanganisha wananchi wote (wanachama na wasiowanachama) mtadumisha amani, umoja na upendo kwa wananchi wote ikiwa ni pamojana kuleta maendeleo ya nchi.

Ni msingihuu ndio chanzo cha uandaaji wa katiba na kanuni za vyama vya siasa inayotakaviongozi wake wawe waadilifu, wasiwe na makundi, wasiwe na matabaka, udini amakitu chochote kinachoweza kudhoofisha umoja wa chama cha siasa (fanya rejeokwenye katiba za CUF, CDM, CCM, NCCR nk ) utaona vyote vinaonyesha bayanaviongozi katika ngazi zote wasiwe na makundi.

Katiba zavyama zimeonesha muundo wa uongozi katika ngazi zote kuanzia ngazi ya taifahadi shina, zimeonisha kazi na majukumu ya viongozi na vyombo mbali mbali zamaamuzi katika chama husika. Katiba hizi zimesajiliwa kwenye ofisi ya msajiliwa vyama pamoja na marekebisho yanayofanywa mara kwa mara. Ili kukipa chamachochote cha siasa uhalali kinasijiliwa kwa msajili wa vyama na kupewa cheticha usajili.

Mojawapo yajambo linaloweza kufanya chama chochote cha siasa kufutiwa usajili ni pamoja na kushindwa kuifuata misingi ya katibayake. Hii ni kulinda maslahi ya wanachama kutopokwa haki zao katika vyama hivyovya siasa.

Nirudie hojayangu kwa CHADEMA, nimeshangazwa sana na namna habari zinaandikwa hata namagazeti yaliyobobea kwenya kuandika habari kwa kina na umakini wa hali ya juuwameshindwa kuandika habari badala yake wameandika mipasho. Waandishi wote wamejikitaama kumtetea Zitto au Mbowe na kusahau Mbowe na Zitto sio taasisi, bali taasisini CDM.

Hapa natakakusema sio mbowe aliyefanya maamuzi bali ni mojawapo ya vyombo vya maamuzi vyataasisi ya CDM ndio iliyoamua kuwaengua watendaji wake kwa kutotimiza wajibuwao kisheria ikiwa ni pamoja na kuvunja kanuni na sheria ya taasisi hiyo.

Mfano: Zittoni Naibu Katibu mkuu (katibu mkuu ndio mtendaji mkuu na yeye ndio msaidiziwake). Katibu mkuu na msaidizi wake ndio waandaji wa mikutano yote ya vyombovikuu vya taasisi hiyo, Je mara ngapi Zitto ameshiriki katika kutekeleza jukumulake hilo?

Zitto kamamtendaji mkuu msaidizi alipaswa kushiriki kikamilifu shughuli mbali mbali zauimarishaji za chama, lakini tumeona na tumesoma hapa jamvini mara nyingi malalamikoya wadau kwa nini Zitto hashiriki badala yake anakuwa busy na mambo mengineambayo sio ya kichama?

DOKEZO: Zitto alipewa ticketi na (taasisi yaCDM) ili kuupata ubunge, Ubunge ndio uliompatia kuwa mwanakamati wa PAC nakupitia chama(taasisi- chama kikuu cha upinzani) ndio ukampatia uenyekiti.Maana yake CDM ndio msingi wa mambo yooote na vyeo vyote alivyonavyo bungeni.Hivyo vikao vya chama chake ni muhimu sana kwake kwa uhai wa majukumu yake yakisiasa.

Kwa mfanohuo mdogo, taasisi inayo uwezo wa kuhoji na kujiridhisha kama mwanachama wao nakiongozi wao huyo anao uwezo wa kufanya majukumu yake kichama na kibunge.Kwangu mimi kama Zitto atajitetea kuwa na majukumu ya PAC yanamfanya anashindwekutekeleza majukumu yake ya unaibu katibu mkuu basi hawezi kuwa kiongozi wakitaifa kwani moja wapo ya sifa kuu ya kiongozi wa kitaifa ni uwezo wa kufanyakazi nyingi kwa wakati mmoja (multi tasking).

Kama kamatikuu, ama chombo kingine chochote kimeona kiongozi Fulani hawezi kutimiza majukumuyake kisheria na kikao hicho kimekaa kisheria (ni halali) basi sisi ni nanitukishutumu kikao hicho? Wengi wetu si wanachama wa taasisi husika (kama ilivyokwa wanaCCM wametoa matamko mengi wakati wao si wanaCDM) kushutumu maamuzihayakuwa ya haki, kwa nini tuwaamulie watu wengine mambo yasiyotuhusu?
Mbaya zaiditumeenda mbali na kusema Zitto kavuliwa uongozi na Mbowe, hivi Mbowe ndiokamati kuu?

Baada ya Mbowe kukaa kimya naona sasa Lisu anashambuliwa nawaandishi wa habari wamuandika bila kuanisha ni wapi Mbowe ama Lisu ama Kamatikuu imevunja sheria? Na kama kamati kuu imevunja sheria mbona waliotendewa hawajakatarufaa ama kupeleka malalamiko yao kwa msajili wa vyama?

Hojailitolewa kuwa Zitto na wenzake wamevuliwa uongozi kwa tuhuma kumi na moja(11). Mojawapo ni ule waraka walioundika na wao kukiri hadharani waliuandika. Kamakuna hoja kumina moja walizotuhumiwa nazo mbona hizo nyingine kumi hawaziwekihadharani ili tuweze kupima kwa uhakika wameonewa ama kamati kuu ilikosea.

Waandishi wahabari mmekuwa mkiandika wiki nzima sasa habari ya MPASUKO CHADEMA lakini badommeshindwa kusema ni mpasuko wa kweli ama la. Ili useme ni mpasuko lazimatuweze kuonesha ni kwa namna gani viongozi wa CDM wameshindwa kuifuata sheria zao(katiba) na kuanza kudeal na mtu mmoja moja.

Ni lazima waandishi mtuoneshe niwapi sheria imevunjwa ili kundi la wakaskazini, dini fulani ama kada fulani lifaidike, vinginevyo magazetiyote yanafanya kazi ya propaganda za vyama vingine vya siasa na kuacha kaziyenu ya msingi ya kuhabarisha umma bila upendeleo. Ili kuwe na mpasuko kwenyetaasisi yeyote lazima misingi ya sheria iwekwe kando (utawala wa kiimla), jewaandishi mbona hamjaweka hili wazi.

Kwa definitionfupi kabisa: Mgogoro ni hali ya kutoelewana kati ya pande mbili. Kutoelewana hukokunasababishwa kwa pande zote ama mojawapo kutoona pande mbili za shilling. Migogorokwenye taasisi yeyote inayokuwa ni muhimu saaana. Maana migogoro husaidiakuijenga taasisi kwa namna nyingi. Moja kama kuna kosa lililofanywa linakuwafundisho kwa maamuzi mengine ya baadae yenye mazingira sawa na ya awali.

Pilimigogoro inasaidia kuibua hisia za ndani za wadau ambazo bila mazingira kamahayo zisingeweza kujitokeza. Tatu inasaidia kuona kama wadau wote wanamaonosawa ama kuna ambao wana maono ya karibu ama ya mbali (hii wakati mwingine nichanzo cha mgogoro).

Hivyo Basiningependa kuhitimisha hoja yangu kwa kuomba mambo yafuatayo yazingatiwe na pandezote zinazopambana na zaidi waandishi wa habari

ZITTO na wenzake: Tumeambiwa mmefukuzwa kwa tuhuma kumi na moja ila moja tu ndiotumeambiwa hivyo tuwekeeni hizo kumi zilizobakia tuzifahamu tupime nani mkweli.

Chadema: Kunahaja ya kutoa ufafanuzi wa namna taasisi yenu inafanya kazi na majukumu yakamati kuu hasa kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla ili kuondoasintofahamu inayojitokeza kwamba ni Mbowe na Lisu waliomvua madaraka Zitto nawenzake.

Waandishi:Jikitenikwenye kuandika habari zilizosahihi kwa kuangalia CDM kama taasisi na misingiyake ya uongozi, kuandika habari za kichunguzi zaidi kuhusu suala hilo, kutupakwa kina tuhuma 11 walizotuhumiwa kina zitto badala ya matamko ambayo mengi CCMilikua ikiyatumia muda mrefu (udini, ukanda, nk)

Karibuni kwa mjadala mpana zaidi

Ngoja tuongeze font
 
Wewe unaota sana, mtaendelea kuota ndoto. Maamuzi magumu ccm hamuwezi.
 
Cha ajabu anasema alisha acha kuwa Signatory wa Chama...kwann asingeenda mbali zaid na kuachia madaraka yote ndani ya Chama
Nasubiri kwa hamu kamati kuu imvue kabisa uanachama akafundishe.
Na sijui ataenda kufundisha wapi huyu jamaa...
 
Mwakyembe aliwaita "wahandisi wa habari" wakatumia vyombo vyao kumpnda..
 
Back
Top Bottom