mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
muono wangu mimi tatizo linalopelekea kushuka mpira wa miguu linasababishwa na sifa wanazopewa wachezaji na wandishi wa michezo.
waandishi ambao hawana fani ya mpira wa miguu kusifia mchezaji au timu anayeishabikia hilo ni tatizo.naamini viongozi hawasifii timu yake wala wachezaji utaona kama akina zuberi kusifia kitu ambacho ukiona ni tofauti nashanga mchezaji akiwa timu ndogo amacheza vizuri akifika timu kubwa bure kabisa akina fulani watamsifu kama bonge la mchezaji.
nawashauri wachezaji tieni pamba masikioni kwa waandishi wanawaharibia mpira