Una elimu ya darasa la ngapi? upinzani umeingiaje hapo.
std 2,unalingine?
Una elimu ya darasa la ngapi? upinzani umeingiaje hapo.
Ukweli siku zote ni mgumu kumeza, kwa akili zako hawa waliosema ni wapinzani!!? Na bado
Ha Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, ndo mwalimu mwenyewe huyo
Na ndo nshasema,sigeuzi kauli.
We mwehu acha kutukana wazazi wetu sisi wengine Baba na Mama zetu ni walimu, tumefika mpaka vyuo vikuu kwa mishahara na marupulupu ya ualimu, umewakosea Watanzania kwa kiasi kikubwa sana.
Haya ndiyo yanayafanya vyama vyenu vinapata mikosi na kutoungwa mkono na wananchi.
Endeleeni kutukana walimu, mkimaliza nendeni kwa madaktari KAMA HAMJADUNGWA SINDANO MKAWA VIPOFU.
....hivi vijana wa siku hizi shule mnaenda kufanya nini..? jinga kabisa nenda hata google hapo utakuta hili neno...hakyamungu ungekuwa karibu ningekuchapa kelbu..[h=1]werevu[/h][h=2]werevu[/h]Werevu ndo nini? Unajifanya unajua huna lolote.Unaemkosoa ndo kaandika sawa.