Waalimu sasa kuandamana baada ya siku 7

Waalimu sasa kuandamana baada ya siku 7

Hamna kada yenye watu wajinga kama walimu tanzania
We mwehu acha kutukana wazazi wetu sisi wengine Baba na Mama zetu ni walimu, tumefika mpaka vyuo vikuu kwa mishahara na marupulupu ya ualimu, umewakosea Watanzania kwa kiasi kikubwa sana.

Haya ndiyo yanayafanya vyama vyenu vinapata mikosi na kutoungwa mkono na wananchi.
Endeleeni kutukana walimu, mkimaliza nendeni kwa madaktari KAMA HAMJADUNGWA SINDANO MKAWA VIPOFU.
 
Walimu waamke waache kutumika na utawala dhalimu. Kuhon.gwa vijisenti vya sensa na uchaguzi kusiwapumbaze. Nawaheshimu walimu ili nawashangaa kwa kutotambua uthamani wao, hapo ndipo nawaona madaraja.
 
We mwehu acha kutukana wazazi wetu sisi wengine Baba na Mama zetu ni walimu, tumefika mpaka vyuo vikuu kwa mishahara na marupulupu ya ualimu, umewakosea Watanzania kwa kiasi kikubwa sana.

Haya ndiyo yanayafanya vyama vyenu vinapata mikosi na kutoungwa mkono na wananchi.
Endeleeni kutukana walimu, mkimaliza nendeni kwa madaktari KAMA HAMJADUNGWA SINDANO MKAWA VIPOFU.

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu!Unaona akili za mtoto wa ticha asiyejitambua kama wazazi wake!Dogo kawaelimishe wazee wawapige chini ccm ndio walipwe vile vimafao vyao acha kulia lia apa.

*team ukawa*
 
Hapa walimu lazima wazinduke watake wasitake la sivyo wataendelea kusoteshwa mpaka wakome.

Mkuu mi nataka waeendelee kukatwa tu haya si ndio maisha bora waliyo yataka!

*team ukawa*
 
Le Prof kikwete aliwaambia wawe na akili za mbaluwai walimu wengi hawana chanzo kingine cha mapato pia ni wengi ni waliofail masomo aka vilaza nao wanajijua na sirikali inalijua pia. Pita Shule za sekondari huta tofautisha ufundishaji wao na s/za msingi kiingereza zero hasa za serikali hivyo wanajua fika hawana pa kwenda zaidi ya chaki. Wanaishi kwa kuvumilia sana.
 
Hamna kada yenye watu wajinga kama walimu tanzania

Walimu ni wajinga,vilaza,mbumbu,mbwa wasiong'ata!!! Mmmhh kwa majina haya ya kashfa kwa walimu,hata kwa makofi sipeleki kura yangu upinzani kamwe.ndo nshasema na sigeuki nyuma.
 
Yule jamaa yao ndg oruoch baada ya BMK na kuchota shekeli za kutosha amekaa kimya utadhani hayupo!!.
AU yawezekana atakuwa anaangalia upepo unaelekea wapi kisiasa ili ajimwage kwenye ulingo huko mara, maana miezi yote ile ndabi ya mjengo si haba but issue kama hii ndo ilikuwa mahara pake kwa yeye kufunguka.
 
Le Prof kikwete aliwaambia wawe na akili za mbaluwai walimu wengi hawana chanzo kingine cha mapato pia ni wengi ni waliofail masomo aka vilaza nao wanajijua na sirikali inalijua pia. Pita Shule za sekondari huta tofautisha ufundishaji wao na s/za msingi kiingereza zero hasa za serikali hivyo wanajua fika hawana pa kwenda zaidi ya chaki. Wanaishi kwa kuvumilia sana.

ngumu kumesa.. ukweli unaniumiza
 
Walimu ni wajinga,vilaza,mbumbu,mbwa wasiong'ata!!! Mmmhh kwa majina haya ya kashfa kwa walimu,hata kwa makofi sipeleki kura yangu upinzani kamwe.ndo nshasema na sigeuki nyuma.

Una elimu ya darasa la ngapi? upinzani umeingiaje hapo.
 
Walimu ni wajinga,vilaza,mbumbu,mbwa wasiong'ata!!! Mmmhh kwa majina haya ya kashfa kwa walimu,hata kwa makofi sipeleki kura yangu upinzani kampeni.ndo nshasema na sigeuki nyuma.
Ukweli siku zote ni mgumu kumeza, kwa akili zako hawa waliosema ni wapinzani!!? Na bado
 
Kwa tanzania hii kuja kuona walimu wanaandamana kudai haki zao hilo tusahau, walimu wa nchi hii wamekosa umoja, mshikamano na hata upendo, wanasalitiana wao kwa wao, walimu wakuu wamekuwa mabalozi kwa wakurugenzi, waratibu elimu kata hawa ndo kabisa wamejisahau na kujiona kuwa wao sio walimu, inauma sana kufanya kazi katika sekta hii, hakika inauma sana.
 
Msilalamike nyinyi walimu nyinyi sindo Maccm kila siku mnaonewa lakn kwenye uchaguzi mnayapigia kura magamba kufa njaa wajinga nyinyi.
 
Mi nadhani wangekatwa elfu 80 kila mwalimu wala wasingeongea,serikali ina huruma sana na waalimu. Walimu lazima wakatwe kujengea maabara. Hiyo haina mjadala. Mimi naishauri serikali ya government iongeze makato kwa waalimu,minimum iwe laki moja ili maabara zijengwe.
 
Back
Top Bottom