Waalimu sasa kuandamana baada ya siku 7

Waalimu sasa kuandamana baada ya siku 7

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
waalimu wilayani Maswa mkoa wa Simiyu wamemtaka Ded kuwalipa pesa zao walizokata kwa maagizo ya fisadi na mwenyekiti wa ccm eti kujenga maabara wamesema iwapo hawatalipwa ndani ya siku 7 pesa yao wataandamana bila kikomo...
Magazetini
 
Sio walimu hawa vilaza wa kuandamana!Wametishia marangapi hawa mbwa wasio ng‘ata???Narudia tena sio walimu hawa walio funga ndoa na ccm!!!

*team ukawa*
 
Ikitokea waalimu wakaandamana, itakuwa ni Tanganyika nyingine sio hii ninayoifahamu! Period!
 
Sio walimu hawa vilaza wa kuandamana!Wametishia marangapi hawa mbwa wasio ng‘ata???Narudia tena sio walimu hawa walio funga ndoa na ccm!!!

*team ukawa*

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Tafakari
 
Kada ipi ambayo ni welevu?

Mwalimu! Nadhani hakuwa na lengo baya kama sentensi ilivyo direct nadhani alitaka kuonesha ni jinsi gani walimu hawachukui hatua za makusudi na za dhati kabisa kukabiliana na serikali wakati wao ndo kila kitu.ni waoga sana
 
Walimu wa nchi gani? Kama ni Kenya sawa kabisa ila Tanzania hakutakuja tokea kitu cha namna hiyo kamwe!
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Tafakari

Acha vimisemo vyako vya kizamani hivyo!Jambo gani lisilo julikana sasa???Kwamba walimu sio mabalozi wa ccm???kwamba walimu hawajui kudai haki zao???kwamba walimu hawajitambui???kwamba walimu wa bongo ni vilaza???Kama ni usiku wa giza mi nishaa washa taa we ticha usie jitambua.

*team ukawa*
 
mimi ni mwalimu nitaungana nao hata kama siko kwenye huo mkoa.. walimu hebu tuanzie kwenye hili.. loh!
 
Walimu kama madaktari maamuzi yao zero!! Imagine mshahara WA mwalimu WA kuanzia hauzidi lak5 taaluma nyingine ni Mara mbili yake, alaf wanajisofu eti Mwl ni muhimu!! Profesa jk alishasema walimu jaribu kuandamana mtamkoma kwa risasi....kimyaa!!! Mm nawashauri tu, if you are not against them, join them

Ikumbukwe pia baadhi ya walimu sio wote...nilifurahishwa na mkakati WA mkoa flani eti kila mwalimu kakubaliana kuwa kila baada ya kumaliza kipindi kuna dakika20 za kueneza elimu ya ukombozi kwa wanachama WA chama cha mashuleni, hii technique inaweza kuzalisha wanaharakati wengi ila kukaa na kunyenyekea wakubwa walimu bado sana!!
 
Acha vimisemo vyako vya kizamani hivyo!Jambo gani lisilo julikana sasa???Kwamba walimu sio mabalozi wa ccm???kwamba walimu hawajui kudai haki zao???kwamba walimu hawajitambui???kwamba walimu wa bongo ni vilaza???Kama ni usiku wa giza mi nishaa washa taa we ticha usie jitambua.

*team ukawa*

Hapa walimu lazima wazinduke watake wasitake la sivyo wataendelea kusoteshwa mpaka wakome.
 
Back
Top Bottom