Waalimu! madaktari hao, mambo safi

walimu bado wanaumwa degedege, wenzao wanalipwa take home almost 950000 kwa mwezi, wao wanalipwa tumshahara cha laki tatu kwa degree holder na bado wameweka masaburi yao chini

mkuu hao walimu watakuwa wanaumwa POLIO bwana nitake radhi..
 
Mimi ni mwalimu! Moto mkubwa waja, zaid hata ule wa madokta!
walimu hawawezi mziki kama huu wa madaktari, yaani wale chukua viongozi wao wawili watatu wape bahasha nzito kwisha kazi.
 

Jamani hii ni kweli kampiga chini KM na Mganga Mkuu? Anao uwezo huo? Mbona alimshindwa Jairo, au KM wa Afya ni cha mtoto kwa Nishati? Just asking....!
 

Aaaahhh..!!Kwa wewe wa duka la stationery, suluhisho ni kukwapua tu hizo stationery mpaka ujaze duka lako mwenyewe.
Ukigoma tu, utawaona wenzako na CV zao wamesimama mlangoni..!!
 
walimu-The sleeping Giant!! Waoga hao! Hawajui haki zao wala kitu umoja kwao ni neni la kichina

Mgomo wao uko chinichini..matokeo mmeyaona.
Watoto wanamaliza darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika
Sekondari wamefaulu asilimia 57%
Bado hatujaona madhara? MWANZO WA Kifo cha ELIMU NDIO HUO
 
Kaka kusoma hujui picha pia kuangalia huwezi? Unataka mgomo gani tena wa walimu? Kwa taarifa yako walimu wapo kwenye mgomo kwa mwaka wa pili mfululizo sasa, na kwa kuwa watanzania wengi wasivyoweza kuchanganua mambo wanashabikia mgomo wa Madaktari kwa kuwa ndio unaoonyesha madhara ya haraka lakini kama unafuatilia kwa karibu utagundua kuwa mgomo wa walimu kwa sasa ndo unaonyesha madhara yake. Hadi mtakaposhtuka itakuwa baadae sana na Taifa litakuwa na wazururaji wengi. Hii inadhihirishwa na Matokeo. Waalimu oyeeee! Kazeni buti walimu na kitafahamika tu Tz hii.
 
Kaka kusoma hujui picha pia kuangalia huwezi? Unataka mgomo gani tena wa walimu? Kwa taarifa yako walimu wapo kwenye mgomo kwa mwaka wa pili mfululizo sasa, na kwa kuwa watanzania wengi wasivyoweza kuchanganua mambo wanashabikia mgomo wa Madaktari kwa kuwa ndio unaoonyesha madhara ya haraka lakini kama unafuatilia kwa karibu utagundua kuwa mgomo wa walimu kwa sasa ndo unaonyesha madhara yake. Hadi mtakaposhtuka itakuwa baadae sana na Taifa litakuwa na wazururaji wengi. Hii inadhihirishwa na Matokeo. Waalimu oyeeee! Kazeni buti walimu na kitafahamika tu Tz hii.
 

We chi...? kwa mshahara upi nimfundishe mtoto wako ipasavyo kama unaona ni vilaza ingia we darasani na bado hao watoto wenu watafaulu hadi waongeze A hadi G siku zaja mtawapigia magoti walimu haya matokeo ni mazuri sana bado kitu kinakuja
 

Msiofu hizo division 4 zitakuja onekana kama 1
 
Walimu mbona wako ktk mgomo siku nyingi.
Matokeo ndo km uyaonavyo, na mwaka huu ndo itakuwa funga kazi. Sitaki kupata picha ya matokeo ya miaka mi5 ijayo. Siku hizi, walimu wanafundisha kwa leisure,pale akijisikia, maana ukimuuliza ana majibu ya kukujibu nifundishe kwa moyo kwa mshahara upi?
Tunarudi pale pale, wanaoumia ni watoto wa sisi masikini tunaosomesha kata, wa kwao st, st,st,
Sitaki kufikiria walevi, wacheza kamari, wezi, wazururaji watakaopatikana miaka ya mbeleni.
Serikali iangalie sana sana hili la walimu, janga lake ni kubwa sana sana.
 
Si tunakumbuka wakati ule Mhe.Dewji Mb. wa Singida alivyowakirimu walimu wa Singida
 
Walimu & sekta zingine hawawezi kugoma hata miaka 10 ijayo mshahara ukabaki huu huu na bei ya sukari ikafika 5000/-,wanapiga mkwara tu,tumewazoea!
 
Hata shule za private walimu wapo kwenye mgomo? Maana kuna private zimefelisha kuliko st kayumba. Mi naona walimu wasikuhzi wanatafuta pesa2 co kama walimu wa enzi hzo!
 
walimu inaonekana viongozi wenu wapo kimatumbo yao zaidi...kwanini msianzishe revolution ndani ya chama chenu halafu muitikise nchi?i respect teachers coz najua bila nyie nisingefika hapa nilipofika.inaniuma sana kumuona mwalimu aliyenifundisha enzi zileeee bado anatumia baiskeli yaani hata starlet hana.just thinking out aloud
 

Hivi ina maana matokeo mabaya ya Wanafunzi wahitimu ni kwa sababu Waalimu wapo katika mgomo!!!!!!!

Basi balaa hili na madhara yake ni makubwa kwani hakutakuwa na Madakitari tena wanaoandaliwa kama wote wahitimu wa Form 4 watakuwa kama mtoto wa mkulu (Dv4 point 27)

Inambidi PM aongee na Waalimu nao kama alivyofanya kwa Madakitari ili waendelee kutufundishia watoto wetu vizuri kuna hatari Taifa miaka michahce ijayo kuwa na akina MBULULA wengi.

"MIMI MWENZENU NAOGOPA KWENDA HOSPITALI KUHUDUMIWA NA DOCTOR ALIYEKUWA MBULULA DARASANI"

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
wewe ndiyo ulimboka wa walimu au?

kama kuna kundi lililo usingizini fofofo ni waalimu
1.mazingara ya kazi zao ni hovyoooooo!
2. Ni waoga kuliko fisi
3.wanatumiwa na wanasiasa kama ngazi na kuiharibu nchi
4.hasira zao wanazielekeza kwa watoto wetu ndio maana watoto wanaandika bongo fleva kwenye mitihani hawawezi kujua kuwa watoto wa wakubwa hawako huko waliko wao ( walimu).
5.nchi hii tumefika hapa tulipo sababu ya walimu kuwa ndio ndio ndioooooooooooooo!
6.kwa wingi wao walimu kama si uwoga wao daima raisi wa nchi hii angekuwa ni mwalimu daima, walimu wangeliweza kuwa na maamuzi ya kubadilisha siasa za nchi hii kama kubadilisha nguo, lakini wamekuwa kinyume chake, wao ndio wamekuwa wanasesere.nafikiri sababu wakati fulani watu wenye low passes ndio waliokuwa wanaenda ualimu kama last resort.
7. Walimu amkeni amkeni amkeni
 
Bora pm awaombe wabunge wasipokee nyongeza ya posho maana wakiongenzwa tu,hadi paka watagoma kukamata panya mpaka kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…