Waalimu 27,000 Kufa kwa HIV/AIDS

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Source: THE SECOND NATIONAL MULTI - SECTORAL STRATEGIC FRAMEWORK ON HIV AND AIDS (2008 – 2012); PMO Office, Published by TACAIDS Page No. 12

The Teaching Community:

From anecdotal evidence it is known that death toll has been high among the teaching community from primary to university levels. In 2004, the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT) conducted a baseline study.

The report however relied heavily on NACP reports for data on HIV infections and AIDS and assumed that primary school pupils, secondary school students and teachers follow the same trend as their respective cohorts in the general population. . . . . . .

The government has recently revealed that the education sector is in danger of losing more than 27,000 teachers to AIDS by 2020.

Habari Ndo Hiyo!
 
Mmmh! Mbona inatisha!

Sukari imeingia kwenye sumu na chai lazima inywewe! Hapo Chacha . . . !
 
Mkuu;
(a) Wapunguze Tigo.
(b) TACAIDS Wapooooooo,pelekeni kondomu mashuleni,au bado mmelala
(c) Wanafundisha hawajui kufundishika, mpaka sasa hawajui kama ukimwi upo wanasubiri wapigiwe ngoma au.
aha aha aha aha, poleni, mrudieni Mungu Wenu atawasaidia:confused:
 
Mkuu sijakuelewa una maana gani ukisema wapunguze Tigo. Au una maana hiyo ndiyo kawaida yao ama?

Sasa waalimu wengi si wanajua HIV/AIDS ni nini na unajikinga vipi. Au wao kinga haina maana hadi iwe nyama kwa nyama?
 
Knowledge na practice ni vitu viwili tofauti. Ndio maana hata preachers do not practice what they teach - wanakuambia zinaa ni dhambi, utachomwa moto milele wakati wenyewe (baadhi) wanalawiti watoto! See?
 
Mkuu Tigo kwa tigo maanake wapunguze nyama kwa nyama na waache kujifanya raisi
 
inatisha zaidi pale tunapotaka wapewe kazi ya kufundisha wanafunzi wao hatari ya ukimwi, lazima watawajengea superficial knowledge kwani hawafanyi wanachofundisha.
Hili ni tatizo la jamii nzima, walimu, wazazi, wahubiri, viongozi wa siasa nk.
Ukimwi kuisha kwenye jamii ni watu kifunza kujizuia na kuwa na msimamo, kitu ambacho watanzania wengi hatuna, tunaogopa shida, tunatamani raha ZOTE ziwe zetu, so kila siku unatamani what is out there.
Mfano hawa walimu unaweza kusema ni tatizo la mishahara, lakini si kweli, kwani hata wenye kipato cha kati wanakufa zaidi.
God bless us.
But how do we live with the ones who are positive with the virus?
 
inatisha zaidi pale tunapotaka wapewe kazi ya kufundisha wanafunzi wao hatari ya ukimwi, lazima watawajengea superficial knowledge kwani hawafanyi wanachofundisha.
Hili ni tatizo la jamii nzima, walimu, wazazi, wahubiri, viongozi wa siasa nk.
Ukimwi kuisha kwenye jamii ni watu kifunza kujizuia na kuwa na msimamo, kitu ambacho watanzania wengi hatuna, tunaogopa shida, tunatamani raha ZOTE ziwe zetu, so kila siku unatamani what is out there.

hili kwa watumishi wa afya ni tatizo kubwa, hawawi role model kwa wanachohubiri
 
Source: THE SECOND NATIONAL MULTI - SECTORAL STRATEGIC FRAMEWORK ON HIV AND AIDS (2008 – 2012); PMO Office, Published by TACAIDS Page No. 12

The Teaching Community:

From anecdotal evidence it is known that death toll has been high among the teaching community from primary to university levels. In 2004, the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT) conducted a baseline study.

The report however relied heavily on NACP reports for data on HIV infections and AIDS and assumed that primary school pupils, secondary school students and teachers follow the same trend as their respective cohorts in the general population. . . . . . .

The government has recently revealed that the education sector is in danger of losing more than 27,000 teachers to AIDS by 2020.

Habari Ndo Hiyo!

Hadi 2020 -27000, nafikiri ni kidogo sana ukilinganisha na idadi yao. Je kuna walimu wangapi waliopata maambukizi?

Na si elimu peke yake iliyoathirika.
Afya
Jeshi
Wabunge etc
 
Back
Top Bottom