WAajiri kugoma kupeleka fedha kwenye mifuko ya jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WAajiri kugoma kupeleka fedha kwenye mifuko ya jamii

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mwanaharakatihuru, Aug 1, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika kizungumkuti kinachoendelea baina ya sheria mpya na wafanyakazi tutegemee makubwa kwani wadau wengi wa wanataka kususa kupeleka michango kwa miezi sita mpaka hatma itakapo patikana ona hii Uzalishaji ndani ya mgodi wa Bulyanhulu KMCL umesimama kabisa kuanzia jioni ya leo tar.01.08.12 kufuatia wafanyakazi kutaka mpaka wapatiwe ufafanuzi kuhusu mustakabali wa fedha zao walizochangia NSSF na PPF hali hiyo imeanza jana baada kikao kati ya mwakilishi kutoka SSRA na wafanyakazi kuvunjika hali hii imepelekea mwajiri kusimamisha uzalishajikwa saa 48 mpaka kieweke.Wakati huo huo makamu wa rais wa BARRICK duniani ameingia nchini kwa mazunguzo na serikali kuhusiana na sheria hii.
   
Loading...