Waajiliwa wengi wanakwepa kujiuliza swali hili

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,711
3,359
Uliyeajiliwa umewahi kujiuliza utafanya nini ikitokea siku moja (kwa sababu yoyote ile) ukajikuta umepoteza kazi uliyonayo sasa.

Hili swali la msingi kujiuliza na kujiweka kimkakati ili usiyumbe kimaisha hata kama kwa sasa unaona upo kwenye ajira.

Hakuna ajuaye kesho yake.
 
Hata bila ajira uhakika wa kuishi vizuri ni kwa kila mtu .

Yaani sahani za riziki kiufupi ni nyingi Sana hata ukiwa hauna macho ,mikono na Miguu lazima ule ,uvae na usaze. Chakula kipo Sana.

Kama upo katika Ajira jaribu kuwaza kuhusu kula, vizuri kufanya mazoezi kusaidia masikini na kufanya uwekezaji wa kusambaza upendo usithubutu kuwaza kuhusu mabaya
 
Nilianza maisha kabla ya kuajiriwa
So hata nikitoka sahiz siwez hangaika kutafuta Cha kufanya namshukuru Mungu Kwa hilo
 
Uliyeajiliwa umewahi kujiuliza utafanya nini ikitokea siku moja (kwa sababu yoyote ile) ukajikuta umepoteza kazi uliyonayo sasa.

Hili swali la msingi kujiuliza na kujiweka kimkakati ili usiyumbe kimaisha hata kama kwa sasa unaona upo kwenye ajira.

Hakuna ajuaye kesho yake.

Hakuna jaribu Mungu atarushu pasipo kuwa na njia ya kutokea, changamoto ni kipimo cha akili, huwezi ukaweka kudhani halafu ukajua utatokaje ni mapka likutokee, ila tunaamini katika chanya kujianda ni lazima omba mikopo ikiwezekana ukatwe kwenye mshahara
 
Watu wote hawa Tanzania milion 60 bado unaweweseka utatoboaje labda huwe hushi na watu vizuri wanaokuzunguka ukose connection, siku hizi connection is the key to success na sio tena education is key to success instead catalyst to success
 
Kuangalia akaunti kila mwisho wa mwezi kama imesoma ama laa nayo nia aina mojawapo ya URAIBU inayozima maono na ndoto za watu wengi !!!
 
Hata bila ajira uhakika wa kuishi vizuri ni kwa kila mtu .

Yaani sahani za riziki kiufupi ni nyingi Sana hata ukiwa hauna macho ,mikono na Miguu lazima ule ,uvae na usaze. Chakula kipo Sana.

Kama upo katika Ajira jaribu kuwaza kuhusu kula, vizuri kufanya mazoezi kusaidia masikini na kufanya uwekezaji wa kusambaza upendo usithubutu kuwaza kuhusu mabaya
Maisha ni vita uwe kwenye ajira au kabwela, tajiri au maskini maisha hayana ku relax kila siku lazima wote m hustle...
 
Uliyeajiliwa umewahi kujiuliza utafanya nini ikitokea siku moja (kwa sababu yoyote ile) ukajikuta umepoteza kazi uliyonayo sasa.

Hili swali la msingi kujiuliza na kujiweka kimkakati ili usiyumbe kimaisha hata kama kwa sasa unaona upo kwenye ajira.

Hakuna ajuaye kesho yake.
Utaishi tu. Maisha lazima yaendelee.

Kama ambavyo uliishi bila ajira, utaishi tu hata ukipoteza ajira
 
Maisha ni vita uwe kwenye ajira au kabwela, tajiri au maskini maisha hayana ku relax kila siku lazima wote m hustle...
MAISHA ni vile unataka yawe ukisema Amani yatakuwa Amani ukisema Vita yatakuwa Vita ukiligundua hilo utajua wapi uweke nguvu
 
Back
Top Bottom