Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,383
Wawakilishi waliosalia katika world cup Algeria nao wameaga usiku huu kwa kufungwa 2-1 na Germany. Japo wamejitahidi ukizingatia wamefungwa katika dakika 30 za nyongeza. Hii inahitimisha kuondoshwa kwa timu zote tano za Afrika baada ya Nigeria nao kusalimu amri ya 2-0 kwa France. Waafrika tujipange safari bado ndefu sana world cup.