1) Wachagga wapunguze madhambi. Waimarike zaidi kiroho. Baadhi yao wajishughulishe kwenye shughuli za kichungaji.
2) Wasome vizuri. Kima cha chini cha elimu kwa mchagga mwenye uwezo kiwe Form Six.
3) Wachagga wengi wasome Bachelors, Masters na PhD. Na wengine wawe maprofesa.
4) Wasiwe materialistic. Wajue kwamba kwenye maisha kuna kuyumba. So wasi wanyanyapae wenzao wanao yumba kimaisha kama wana sababu zinazoeleweka.
5) Waanzishe makampuni mengi yenye mafanikio, na NGO nyingi zenye mafanikio.
6) Wawe na afya nzuri. Wafanye mazoezi na pia wale chakula kizuri chenye mboga mboga na matunda.
7) Wawe na ujuzi wa mambo ya uongozi, ukurugenzi na menejimenti kwenye sekta binafsi na sekta ya umma.
8) Wawe na ujuzi wa mambo ya ulinzi na usalama, kwenye sekta binafsi na sekta ya umma.
9) Wawe na ujuzi wa mambo ya kidiplomasia.
10) Wapunguze kunywa pombe. Wa avoid kutumia kisusio.
11) Waishi kwenye mikoa ambayo watanufaika kiuchumi na kimaisha.
12) Waishi kwenye nchi ambazo watanufaika kiuchumi na kimaisha.
13) Wafanye shughuli ambazo zita wanufaisha kiuchumi na kimaisha, au na zita isaidia jamii.
14) Wawe kwenye tasnia ya habari ndani na nje ya nchi.
15) Wawe na magroup ya whatsapp ya kiukoo. Wawe kwenye social media zenye tija kama LinkedIn na Twitter.
16) Wajitayarishe kuoa mke mwema na kuolewa na mume mwema mapema. Umri unao faa kuoa/kuolewa ni 30 – 40 years. Wajenge familia bora zinazompenda Mungu na kupendana.
17) Waendelee kuishi vizuri na majirani zao, na jamii kwa ujumla.
18) Wananchi wawaunge mkono wachagga na waendelee kuwapenda.
19) Serikali iwaunge mkono wachagga.
20) Makabila mengine ya kiafrika yenye uwezo wa kuwa vinara yajitahidi kuwa vinara kwa unyenyekevu.
21) Wachagga wawe Wakristo wazuri, wanaoshika amri za Mungu na imani ya Bwana Yahushua Mashiach.
NB: Haya maoni yameletwa na mtoa mada. Hayajaletwa na kabila.