Waafrika walioishangaza dunia

Waafrika walioishangaza dunia

Vizuri mkuu kuna bado mengi hayajavumbuliwa. Ukishindwa kabisa andika kitabu kitakachobadili angalau maisha ya mtu mmoja.

Wanasema kile ambacho wewe unakidharau na kuhairisha kukifanyia kazi, wenzako wako bize wanakifanyia kazi.
Ni hakika na kweli Mkuu.
 
12. ................................
Ndiye mwafrika wa kwanza Rais kufanya safari zake nyingi nje ya nchi kuliko ndani. Kwa lengo la kufanya selfie na wazungu .
 
Amesahaulika hapo Prof Shaba(aligundua ugonjwa wa ini kama sikosei) na Prof Wangari Maathai(alikuwa na mahaba na mazingira) na Nyerere (alianzisha falsafa muhimu duniani ya Education for self reliance).
 
Al Shabaab - Made in Somalia by Somali's brothers.

images
 
Back
Top Bottom