Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Huyo msomi hana picha
Kwa sababu ndiko kwenye facilities zote za kufanyia kazi infact watahitajika huko ndio kwenye viwanda vya kila aina.Kwa nini hao wote wamekimbilia Marekani?..au je ni ule usemi wa kuwa Mwaflika bila Mzungu si chochote?... nami nilitegemea wabaki Africa kuliendeleza bara letu.. Labda kama walienda America kwa kuibwa..maana nasikia siku hizi mwafrika ukionekana tu una kipaji cha ajabu ajabu unabebwa na kwenda kufungiwa uwafanyie Assignment.
Kwa sababu waafrica tunawaza tumbo tu, hatuwazi jinsi ya ku solve problems kwa kutumia science. Wasomi wa Africa baada ya kupata elimu anawaza wapi atapata kazi yenye mshahara mkubwa tu, ni 0.1 percent tunao waza kuvumbua mambomleta mada hapo uliposema "waliobadili fikra zao" naomba ufafanuzi...
kwani waafrika fikra zetu zipoje mpaka tuzibadilishe ndo tuweze kufanya mambo makubwa na yenye michango ktk jamii zetu na dunia? Naomba jibu
Umeona mkuu.Kwa sababu hapa Africa hata uvumbue kitu gani hauwezi kuwa appreciated sana sana kama ni hapa Tanzania watakuuliza ww ni ccm au ukawa halafu wakupigwe zengwe. Si unaona Mbwana Sammata alivyowahishwa Lumumba kupiga picha na maccm. Africa ni shida
Africa fursa ni zeroKwanini wengi wao wamekimbilia huko Ulaya na Marekani na hawakubaki ili kuendeleza nchi zao au kushare hiyo knowledge yao na wazawa wa Nchini mwao?
sawa najaza server mkuu, tell me one thing(remarkable) you have done that your village will remember you even after 100 years.Ndo maana unajaza na server yetu hapa. Unakopi maneno 2000 unacoment maneno 10!
Bosi,usidharau watu ukiwa nyuma ya keyboard! Rostam ndiye anaetuongoza watanzania kiuchumi kwa mujibu wa forbes. Wenye uchumi hawana swaga kams hizi! Tehe tehesawa najaza server mkuu, tell me one thing(remarkable) you have done that your village will remember you even after 100 years.
Change your mind mkuu. Usiwe mwepesi kuhukumu, I am sure 100% hunipati kielimu wala kiuchumi labda umenizidi kwa porojo
Elimu sikupati kwa kiingereza hiki!!sawa najaza server mkuu, tell me one thing(remarkable) you have done that your village will remember you even after 100 years.
Change your mind mkuu. Usiwe mwepesi kuhukumu, I am sure 100% hunipati kielimu wala kiuchumi labda umenizidi kwa porojo
Ni marekani mweusinamba 7 ni wa wapi huyo
Nimekupata nitaupdate madini yake huyu mtu na tujipe changamoto zaidi.Nimeipenda hii,ila katika woote nimemkubali sana huyo jamaa mnaigeria Dr. Philip Emeaguali,nimerudia mara nyingi sana kumsoma.
Nimetamani kumjua zaidi na zaidi.
mmmmhhhh hayaNi marekani mweusi
Weka picha yake tumwone. Aluu huyu kawapita wote.Jecha salum jecha huyu ni mzee aliweza kuipindua katiba iliotengenezwa na wengi na kutumia mamilon ya pesa kwa yy kuweza kufuta matokeo ya uchaguzi zanzibar wakati kisheria hana haki ya kufanya hvyo, hii ni historia na ni mvumbuzi wa kwanza duniani
Vizuri mkuu kuna bado mengi hayajavumbuliwa. Ukishindwa kabisa andika kitabu kitakachobadili angalau maisha ya mtu mmoja.Pongezi kubwa nawapa waliofanikisha hayo yote, nami naja njiani na uvumbuzi wangu.