Waafrika tunarogana sana ndio maana maisha yetu magumu

Kaka hongera sana , kwa maada nzuri unayouasema ni ya kweli kabisa ...yaani kuendelea ni vigumu unayejifunika naye shuka moja !! Huyo naye anaenda kukuloga usipate hela ...ukatajirika ukamuacha...
Hii no Deep, Mkuu!
 
Na wengine tumelogwa hatujijui tunacomment tukitolea wengine mifano! Anyways ukiachana kulogwa kuna nyingine mtu umezaliwa na mimba yako ilitungwa kwa mganga! Aisee mateso utayopitia duniani ndo pale unapojiuliza nimemkosea nani! Kumbe mama anajua chimbuko lako! Hapo uje ulogwe tena! Arooo ni
 
Hata mm mwenyewe now days, nikijiangalia naona kabisa wameniroga, nuksi si nuksi, mikosi si mikosi basi tafrani hakuna ninachoshika kikakaa kwenye mstari
 
Mi aliniroga anko wangu kabisa tena aliroga the whole family ya ccta ake eti kisa tukihitimu tutakua na feza ko alirogwa kila mtu asipate kazi wala asiwah fanikiwa kwa lolote.

Maamae yule anko yule namsubiri kwenye 18.

Lengo langu kuu ni kichwa chake tuu sina jingine.😠😠😠😠😠😠

Yaani kurogwa kila upande ni kurogwa tuu Africa usipokua mrogi hautoboi😀😀😀😀😀😀
 
Mi aliniroga anko wangu kabisa tena aliroga the whole family ya ccta ake eti kisa tukihitimu tutakua na feza ko alirogwa kila mtu asipate kazi wala asiwah fanikiwa kwa lolote.

Maamae yule anko yule namsubiri kwenye 18.

Lengo langu kuu ni kichwa chake tuu sina jingine.

Yaani kurogwa kila upande ni kurogwa tuu Africa usipokua mrogi hautoboi
Sasa hivi umeshatoboa au bado unatangatanga
 
Hapa bado nahangaika tuu mkuu japo at least sio kama mwanzo.

Tangu nmejua hili ni miez 3 ishapita ko npo kwenye recovering.

Yule anko ajichunge sana😠😠😠
 
makazini ndio sehemu inayovunja record kwa watz kurogana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tatzo huwa ni nini Mkuu?

Au kushikilia mkate?..

Au kurudisha maendeleo ili wenzao wasipande vyeo?

Au ni kinga?

Kwa sabbu kuna wengine huwa nasikia wanaweza kumrushia mwenzao kombora moja tuu anapata tumbo la kuhara...ili wiki nzima asionekane ofisini.

Pia nahisi kwenye ofisi 85% utakuta ni walozi
 
Haa haa haa eti 85% warozi unaweza kuta ni 98% wote vipanga dunia hii ione hivi hivi!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom