Waafrika tunarogana sana ndio maana maisha yetu magumu

Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
Last born wetu anafanya kazi kwenye hizi microfinance. He is 28yrs old, Ana miaka mitatu took aajiriwe amejitahidi amepandisha self ya rum tatu za kulala,jiko,stoo nk......na juu kapiga msouth...............

Heeeeeee.........Cha ajabu watu wameshaanza kusema dogo anaringa kisa kajenga......yaani dogo asimwambie mtu fala wewe........kosa kubwa sana.......

Africa tuna safari ndefu.
 
Last born wetu anafanya kazi kwenye hizi microfinance. He is 28yrs old, Ana miaka mitatu took aajiriwe amejitahidi amepandisha self ya rum tatu za kulala,jiko,stoo nk......na just kapiga msouth...............

Heeeeeee.........Cha ajabu watu wameshaanza kusema dogo anaringa kisa kajenga......yaani dogo asimwambie my fala wewe........kosa kubwa sana.......

Africa tuna safari ndefu.
Uchawi huanzia mdomoni, huenda Hadi moyoni na kutokea machoni
 
Hili la kurogwa,mara kuibiana nyota,ni mambo ya kawaida Sana Tanzania,ukilingansha na nchi zinazotunguka,siyo maofsini ,mashuleni,kwenye biashara nk.
Wengi wanakimbilia kutafuta waganga,ila kwangu Tumaini langu ni Mwenyezi Mungu...
Bwana asipoulinda mji,waulindao wanafanya kazi
bure....
 
Last born wetu anafanya kazi kwenye hizi microfinance. He is 28yrs old, Ana miaka mitatu took aajiriwe amejitahidi amepandisha self ya rum tatu za kulala,jiko,stoo nk......na juu kapiga msouth...............

Heeeeeee.........Cha ajabu watu wameshaanza kusema dogo anaringa kisa kajenga......yaani dogo asimwambie mtu fala wewe........kosa kubwa sana.......

Africa tuna safari ndefu.

Hahaha asipokuwa makini wadau wanaweza kufanya yao.
 
Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
Kwl mkuu,,,
 
Naye watamroga ili msielewane, muachane, arudi kwanza mke mzungu anajidai, eti hajui hata kupika makande, si dharau hizi...... Huyu tutanunua Hadi ng'ombe atolewe kafara, acha watoto wàsiende shule kwa kukosa ada lakini ndoa na mzungu isambaratike na ufilisike
Jwani ugwe?
Kikolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoshangaza mme na mke wakikaa vizuri ndugu wa mme lazima waje juu mke kamroga mtoto wetu haaa haaa, mimi hujiuliza kwanini msiwaozeshe ndugu? Kwa shangazi na mjomba ili kama wote mapunguani mpunguziane huo urozi
 
Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
ushirikina na uchawi ni jambo lenye mizizi ya kihistoria kwa watz wa kada zote kuanzia wasomi, wasio wasomi, matajiri kwa masikini.

katika moja ya hotuba zake, nyerere aliwahi kusimulia kwamba harakati za kutafuta uhuru wa tz zilienda sambamba na kufanya matambiko yenye maagano ya kichawi na wazee kule bagamoyo.

mtu mmoja aliwahi nisumilia kuhusu mwenge wa uhuru ambao kila mwaka ccm huuzungusha mikoani.

alianiambia mwenge wa uhuru ni uchawi wa ccm wenye lengo la kuwapumbaza watz wengi ili wasipate ufahamu na ujasiri wa ku-resist maamuzi ya ccm pia wasipate ujasiri wa kuhitaji changes.
 
Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
Usiseme kwenye ukoo au mama mkwe sema hata Baba na mama yako wanaweza kukuroga vile vile na hauwezi kujua kwasababu ni wazazi ngumu kugundua hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom