KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 80
Mungu ametupa upendeleo wa kuwa na ardhi nzuri,miti,maziwa bahari ,wanyama ,samaki,ndege,madini,gas ,mafuta,binaadamu,wadudu nk.wakati wazungu wateseka na barafu,matetemeko,vimbunga ,lakini wanaongoza kwa ufundi,demokrasi,uongozi bora na maisha bora.sisi wa afrika ni vita,magonjwa,wizi na tawala mbaya sana.nini kifanyike?