Waafrika tunalaana gani jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waafrika tunalaana gani jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAKA A TAIFA, Jul 22, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mungu ametupa upendeleo wa kuwa na ardhi nzuri,miti,maziwa bahari ,wanyama ,samaki,ndege,madini,gas ,mafuta,binaadamu,wadudu nk.wakati wazungu wateseka na barafu,matetemeko,vimbunga ,lakini wanaongoza kwa ufundi,demokrasi,uongozi bora na maisha bora.sisi wa afrika ni vita,magonjwa,wizi na tawala mbaya sana.nini kifanyike?
   

  Attached Files:

Loading...