Waafrika tunakwama wapi?

Waafrika tunakwama wapi?

sandraeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
1,424
Reaction score
2,392
Harusi za marekani

Walioalikwa :100
Wanaohudhuria kanisani :80
Wanaohudhuria ukumbini :70
Wanaotoa Zawadi:65
Vitu vilivyopotea : 0

Harusi za uingereza

Walioalikwa :50
Wanaohudhuria kanisani :50
Wanaohudhuria ukumbini :40
Wanaotoa Zawadi:40
Vitu vilivyopotea : 0

Tanzania sasa [emoji3][emoji3]

Walioalikwa :500
Wanaohudhuria kanisani :38
Wanaohudhuria ukumbini :1300
Wanaotoa Zawadi:70
Vitu vilivyopotea : simu 20,vijiko 300,visu vya kukatia keki 15, camera 1,chupa 2 Za wine, mdada kutongozwa na kudate na Mgeni mmoja wapo, wavulana kutafuta demu mpya, zawadi kuibwa, viti vilivyovunjika 50,meza zilizovunjika 5,watu kuondoka na mapambo, wamama kuondoka na misosi na nyama kwenye mikoba [emoji3][emoji3][emoji3]sijui huwa tunakwama wapi.

Nimeitoa hukooooo mahali
 
Ila si Tanzania tu.....ni waafrika kwa ujumla ndivyo tulivyo, yaani ustaarab umetushinda kabisa. Ukienda chooni hapo ukumbini utaona mtu kanya mavi na kupaka ukutani tena makusudi tu, magari ya wageni yameibiwa sight mirrors au matairi, vitasa vya mlango wa HALL/ukumbi kung'olewa. Kisha watu/waalikwa wanakwenda majumbani na kujisifia kuwa walifanya fujo ya kutisha.
 
😂😂😂😂😂
 
Mbona kawaida sana tushazoeana, na kamati ya maandalizi inapanga bajeti sawa sawa watu tunakula, tunakunywa mpaka tunasaza na tunafungasha nyumbani, ndio mtindo wa maisha yetu [emoji2][emoji2][emoji2].
haswaaa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sio lazm woote 2fanane
Jarbu kua watofauti
Ndo kina2tofautisha na mataifa menginee
 
Kawaida hiyo halafu mzungu akitushangaa na kutukata jicho tunasema racism
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunawageuzia kibao sio?
Sana [emoji23] kuna jamaa alikuwa ananikera sana yaani akiendesha gari ni mbishi kwa wengine sasa siku moja kasimamishwa na police ile kuijiwa akaanza ' umenisimamisha kwa sababu ya weusi wangu Daa
Yaani kageuziwa kibao na kosa la dereva lakini alikoma
 
😂😂😂😂😂😂
Waafrika kwa kujihami hatujambo.
 
Maskini hana ustaarabu. Store, chumba, sebule vyote humo humo.
 
Kuna style mpya nimeiona mwaka jana kwenye harusi ya jirani yangu hata sikuamini,tumepewa card za mualiko haziitaji michango,ila baada ya kufika kabla ya kuingia ukumbini unapewa kipeperushi ,kina muuongozo wa gharama za chakula na bei za vinywaji, hivyo kama huna pesa utaishia kutumbua macho stejini tu mpaka muda wa kuondoka,cha bure ni maji tu
 
Back
Top Bottom