Imagine bila kujali ni ujinga ama la hilo jambo lingefanyika Tanzania.. Hasa kwa mazingira tuliyo nayo kwa sasa.....Kilichofanyika Uhuru Park ni ujinga wa kiafrika wala siwezi kuufagilia hata mara moja.......Unajiapisha so what? unaenda kuwa Rais Jamhuru gani? Unaenda Ikulu ya nani? Unaongoza nchi gani? una mkuu wa majeshi gani?
Ule ni ujinga uliopitiliza na ndiyo maana wenye akili walikuacha tu ufanye ujinga wako then ukalale...finished.
Sometimes ni kuwa mweledi kwakuwa na njia ya ufumbuzi ambayo haitaleta majeraha vifo na uharibifu wa maliKilichofanyika Kenya ni uhaini na ni ujinga kusifia kwa aina iwayo yoyote ile.
Kama lingefanyika TZ, japo katu upuuuzi wa namna hauwezi pewa nafasi hata ya wazo kuumbwa, lingezimwa Mara moja na mjinga wa namna hiyo kushughulikiwa barabara. Ndivyo inavyopaswa kuwa.
Kenyatta badala ya kudeal na Raila mwenyewe yeye aneenda kuzima media wakati kurusha matangazo ndo kazi yao. Nonsense
Utambuzi? sema "Uhaini huu umee na kuota Tanzania".Siku ya leo pale Kenya... Nairobi ilikuwa inasubiriwa kwa hamu sana na vyombo vya habari vya nje.... Hata vichwa vya habari vilikuwa vimeshaandaliwa... Walitegemea machafuko makubwa wakati Odinga alipojiapiza kujiapisha kuwa rais wa watu wa Kenya... Mwezi mmoja kabla Marekani walikuwa tayari wameshamuonya asifanye hivyo kutokana na vurugu.. Vifo na machafuko ambayo yangetokea kama angefanya hivyo
Aibu yao hawa watabiri mabaya wa Africa.... Wachochezi na wachonganishi wakubwa... Raila mbele ya halaiki kubwa ya wakenya na vyombo vya habari akajiapisha... Uhuru Kenyata ambaye ndio rais rasmi (japo kuna mengi ndani yake) hakutaka kufanya kile wazungu walichokuwa wanaombea kifanyike...!!! Pamoja na kutoa onyo na kupeleka askari wengi wenye silaha... Hatimaye ama kwa uamuzi binafsi ama kwa kushauriwa dakika za mwisho akaamuru askari wa majeshi yote waondoke eneo la tukio.... Hii ilikuwa ni sawa na lle hamu ya kutofikishwa kileleni baada ya ashiki za muda mrefu
Kenya imeushangaza ulimwengu kwa kuvuka kikwazo hiki muhimu sana... Odinga kajiapisha kwa amani bila kubughudhiwa na mamlaka za nchi... Kenyata alikuwa ikulu akishuhudia kwenye luninga... Baada ya tukio hilo muhimu watu wakatawanyika kwa furaha na amani... Ma breaking news ikafa kifo cha mende... Ikaangukia pua.. Puuuu.. Mzee wa shithole najua kaumia sana
Somo la pili ni kile kilichotokea Zimbabwe mwezi mmoja na ushee uliopita... Yakafanyika mapinduzi ya amani kwa style ya aina yake... Mugabe akaondoshwa kwa kulazimishwa kimya kimya.. Sasa Zimbabwe inajipanga kusimama tena..... Dunia imeshuhudia hilo kwa mshangao wa aina yake... Lakini najua wale watoa misaada hawakupenda hili jambo liwe la amani kiasi kile... Wamekatishwa ashiki zao
Pamoja na yale yatakayoendelea kutokea Kenya... Tuyaombee sana... Lakini mbegu ya kujitambua imeshapandwa Afrika kupitia Zimbabwe na sasa imeanza kumea Kenya... Hii ni hatua moja kubwa sana na tunapaswa kuwapongeza wenzetu hawa.. Huku tukimuomba Joseph Kabila na wakongo wafuate nyayo hizi...
Pamoja na pongezi hizo lakini kuna mapungufu pia... Zimbabwe Mnangagwa anakwepa kuwajumuisha wapinzani kwenye serikali yale... Lakini anapaswa kuutambua mchango wao mpaka wakaweza kumdhoofisha babu kwa kiwango kikubwa kilichomsaidia sana yeye kupata KITI kwa ulaini kabisa...
Kwa ndugu yangu kaka mkubwa Uhuru mamlaka zake zilikosea sana kuvifungia vyombo vyote vilivyokuwa vinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye tukio la Odinga kujiapisha... Wangeacha dunia ishuhudie kwa mapana yake yasiyowezekana Africa na sehemu kubwa ya dunia yakiwezekana Nairobi Kenya....
Utambuzi huu umee na kuchanua hata Tanzania
Siku ya leo pale Kenya... Nairobi ilikuwa inasubiriwa kwa hamu sana na vyombo vya habari vya nje.... Hata vichwa vya habari vilikuwa vimeshaandaliwa... Walitegemea machafuko makubwa wakati Odinga alipojiapiza kujiapisha kuwa rais wa watu wa Kenya... Mwezi mmoja kabla Marekani walikuwa tayari wameshamuonya asifanye hivyo kutokana na vurugu.. Vifo na machafuko ambayo yangetokea kama angefanya hivyo
Aibu yao hawa watabiri mabaya wa Africa.... Wachochezi na wachonganishi wakubwa... Raila mbele ya halaiki kubwa ya wakenya na vyombo vya habari akajiapisha... Uhuru Kenyata ambaye ndio rais rasmi (japo kuna mengi ndani yake) hakutaka kufanya kile wazungu walichokuwa wanaombea kifanyike...!!! Pamoja na kutoa onyo na kupeleka askari wengi wenye silaha... Hatimaye ama kwa uamuzi binafsi ama kwa kushauriwa dakika za mwisho akaamuru askari wa majeshi yote waondoke eneo la tukio.... Hii ilikuwa ni sawa na lle hamu ya kutofikishwa kileleni baada ya ashiki za muda mrefu
Kenya imeushangaza ulimwengu kwa kuvuka kikwazo hiki muhimu sana... Odinga kajiapisha kwa amani bila kubughudhiwa na mamlaka za nchi... Kenyata alikuwa ikulu akishuhudia kwenye luninga... Baada ya tukio hilo muhimu watu wakatawanyika kwa furaha na amani... Ma breaking news ikafa kifo cha mende... Ikaangukia pua.. Puuuu.. Mzee wa shithole najua kaumia sana
Somo la pili ni kile kilichotokea Zimbabwe mwezi mmoja na ushee uliopita... Yakafanyika mapinduzi ya amani kwa style ya aina yake... Mugabe akaondoshwa kwa kulazimishwa kimya kimya.. Sasa Zimbabwe inajipanga kusimama tena..... Dunia imeshuhudia hilo kwa mshangao wa aina yake... Lakini najua wale watoa misaada hawakupenda hili jambo liwe la amani kiasi kile... Wamekatishwa ashiki zao
Pamoja na yale yatakayoendelea kutokea Kenya... Tuyaombee sana... Lakini mbegu ya kujitambua imeshapandwa Afrika kupitia Zimbabwe na sasa imeanza kumea Kenya... Hii ni hatua moja kubwa sana na tunapaswa kuwapongeza wenzetu hawa.. Huku tukimuomba Joseph Kabila na wakongo wafuate nyayo hizi...
Pamoja na pongezi hizo lakini kuna mapungufu pia... Zimbabwe Mnangagwa anakwepa kuwajumuisha wapinzani kwenye serikali yale... Lakini anapaswa kuutambua mchango wao mpaka wakaweza kumdhoofisha babu kwa kiwango kikubwa kilichomsaidia sana yeye kupata KITI kwa ulaini kabisa...
Kwa ndugu yangu kaka mkubwa Uhuru mamlaka zake zilikosea sana kuvifungia vyombo vyote vilivyokuwa vinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye tukio la Odinga kujiapisha... Wangeacha dunia ishuhudie kwa mapana yake yasiyowezekana Africa na sehemu kubwa ya dunia yakiwezekana Nairobi Kenya....
Utambuzi huu umee na kuchanua hata Tanzania
Kwa hiyo kusifiwa na Muzungu au kuiga Muzungu ndo kujitsmbua? Kama ni hivyo basi tumeshajitambua tangu zamani kwani hakuna kiumbe anayeiga Muzungu Dunia hii kama Mwafrika na wkt huo huo hakuna kiumbe ambaye Muzngu anadharau Dunia hii kuliko Mwafrika!
Kila nikiona post au reply yako nakumbuka ile ishu ya kunywa sumuKwa hiyo kusifiwa na Muzungu au kuiga Muzungu ndo kujitsmbua? Kama ni hivyo basi tumeshajitambua tangu zamani kwani hakuna kiumbe anayeiga Muzungu Dunia hii kama Mwafrika na wkt huo huo hakuna kiumbe ambaye Muzngu anadharau Dunia hii kuliko Mwafrika!
Boss, kusababisha vurugu ndo kujitambua. Kuvunja sheria ndo kujitambua?? Yaan kwa kawaida mheshimiwa ustaarabu ni Pale unapoheshimu maamuz ya wengi au unapochukua maamuzi yanayolinda usalama wa wengi. Aman na usalama ni vitu muhimu sana tena sio vya kuchezea. Tatizo wabongo mnaongea sana bila kujua kuwa hivi vitu viwili vikipotea kuvirudisha ni kitu ambacho ni very expensive. Wenye akili wanajua.Siku ya leo pale Kenya... Nairobi ilikuwa inasubiriwa kwa hamu sana na vyombo vya habari vya nje.... Hata vichwa vya habari vilikuwa vimeshaandaliwa... Walitegemea machafuko makubwa wakati Odinga alipojiapiza kujiapisha kuwa rais wa watu wa Kenya... Mwezi mmoja kabla Marekani walikuwa tayari wameshamuonya asifanye hivyo kutokana na vurugu.. Vifo na machafuko ambayo yangetokea kama angefanya hivyo