Waafrika tumeanza kujitambua?

Waafrika tumeanza kujitambua?

Mshana ameongea kitu deep sana narrow minded hawawezi kumwelewa logic ya hand andiko lake.
 
Leo mshana umeandika very low..
Na sehem nyng umetia chumvi isiyo na ulazima.
Safar ya Ukombozi wa kweli Afrika bado sana na hasa Tz, na pia nakusihi sana msipende kuwatupia lawama wazungu kwa ujinga wenu wenyewe waafrika. Hii biashara ya kusema matatizo ya waafrika yanasababishwa na mzungu ni mojawapo yya akili ndogo sana tulizonazo waafrika
 
Ila naona kipengele kigumu wamekivuka.... Yake maneno ya.... Wape bunduki wauane yamezidi kukosa msisimko
Na Tanzania mbegu mpya ishapandwa.
Ninaamini imeanza kumea.
Hakuna aliyetegemea kuwa katika kipindi hiki mahasimu hawa wangekutana, wakaongea kistaarabu, wakatoka mbele ya halaiki kwa tabasam bila kutifuana.
Mbali na ushabiki wa kambi za kisiasa. Mbegu iliyopandwa ni ya msingi sana kwa taifa letu
IMG-20180110-WA0008.jpg
 
Na Tanzania mbegu mpya ishapandwa.
Ninaamini imeanza kumea.
Hakuna aliyetegemea kuwa katika kipindi hiki mahasimu hawa wangekutana, wakaongea kistaarabu, wakatoka mbele ya halaiki kwa tabasam bila kutifuana.
Mbali na ushabiki wa kambi za kisiasa. Mbegu iliyopandwa ni ya msingi sana kwa taifa letuView attachment 688500
Shetani na malaika walipokutana njia panda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom