Kwa kutoa wazo la kuwa tukatambike umedhiirisha kuwa "Waafrika ndivyo tulivyo". Go figure!!
Ndivyo tulivyo kutambika au alivyotoa wazo?
Hivyo giza limetanda. Mvua zimegoma kunya. Njaa nayo inatawala. Umaskini umegeuka ufukara. Maradhi nayo yamekithiri. Vifo vyazidi kuongezeka. Twafa tukiwa majumbani. Na barabarani twafa. Hata mahospitalini twafa. Twalia na kulia. Yana mwisho haya. Mwisho ndio huu.
Kutambika ndio kutaondoa haya matatizo? Kwa nini tusitafute suluhisho la kudumu?
Kwa kutoa wazo la kuwa tukatambike umedhiirisha kuwa "Waafrika ndivyo tulivyo". Go figure!!
Mkuu umeniwahi tu,nilitaka kumwambia kuwa hiyo habari ya mababu na mabibi kukasirika ndo hasa kinachozidi kupigia mstari hiyo ndivyo tulivyoKwa kutoa wazo la kuwa tukatambike umedhiirisha kuwa "Waafrika ndivyo tulivyo". Go figure!!
wewe vipi?Mababu zetu wamekasirika. Na mabibi pia. Tumeacha wosia wao. Ati tunajiita wastaarabu. Kumbe tu malimbukeni.Tumekumbatia tamaduni ngeni. Na dini mpya. Hata siasa tunaiga. Ujamaa tumeuweka kando. Sasa tumesahau tulikotoka. Tena hatufahamu tuendako. Hatujui tu nani.
Hivyo giza limetanda. Mvua zimegoma kunya. Njaa nayo inatawala. Umaskini umegeuka ufukara. Maradhi nayo yamekithiri. Vifo vyazidi kuongezeka. Twafa tukiwa majumbani. Na barabarani twafa. Hata mahospitalini twafa. Twalia na kulia. Yana mwisho haya. Mwisho ndio huu.
Jamani tusiache mbachao. Msala huo unapita. Turejee imani asilia. Twendeni sasa tukatambike. Pale Mbuyuni Msasani. Na kule milimani. Tuukubali ukweli huu. Sisi viumbe tuliolaaniwa. Tukatambike tuitoe laana. Hiyo aliyoizungumzia Fanon. Tunene na wahenga. Tusikilize yao maarifa:
Nguo ya kuazima! Kamwe haisitiri m.a.t.a.k.o! Huu wetu uvivu! Nyumba ya njaa!
Mababu zetu wamekasirika. Na mabibi pia. Tumeacha wosia wao. Ati tunajiita wastaarabu. Kumbe tu malimbukeni.Tumekumbatia tamaduni ngeni. Na dini mpya. Hata siasa tunaiga. Ujamaa tumeuweka kando. Sasa tumesahau tulikotoka. Tena hatufahamu tuendako. Hatujui tu nani.

Tambiko si suluhisho. Mababu na Mabibi unaotaka tukawatabikie, walisha kufa. Wao wenyewe hawakuwa na uwezo wa kzuia kifo ndo maana walisha kufa, kwani wangelikuwa na uwezo wasinge kufa wangelikuwa hai mpaka leo. Mambo mengine hayanasabaub ya kutambika kwani chanzo cha matatizo youte kipo wazi. VIONGOZI WABOVU, na tunawafahamu, tunaishi nao na wengine ni ndugu/marafiki zetu. Sasa tukaombe mizimu itusaidie nini?
- Kufahamu chanzo cha matatizo yetu?
- Kuwafahamu hao watu?
- Kuwaadhibu hao watu?
- Kutowachagua tena hao watu?
- Kutokubali tena uongo na ahadi zao n.k.?
Ushauri wangu: kwa sababu tatizo tunalijua, hatuna sababu ya kutabika bali ni kutowapa hao watu nafasi tena ya kutuongoza kwa kutowapigia kura. Ukitabika, utachinja kuanzia mbuzi,kondoo,kuku,bata na kila utakacho weza na mwisho itafikia kutoa kafara binadamu wengine na tatizo litabaki palepale.
wewe vipi?
si ulisema unaachana na siasa za bongo unarud kubeba boksi?
Hii inadhihirisha kuwa na wewe umeshanasa kwenye kasumba ya utamaduni bugizi - wamekupa dini na siasa zao wao wakachukua ardhi na utu wako!
Mkuu Companero,a reasonable "tambiko" ni kuinvest katika quality education.Thats it,nje ya hapo kuwa tunaficha vichwa mchangani kama mbuni.
Nimenasa kwa kusema tambiko si suluhisho la matatizo yetu? Wewe ni mtu wa limanjaro nini? Haya katambike na maliza mizimu yote unayoijua tuone kama hawa viongozi wasiofaa wanao tusababishia matatizo wataondoka.