Inog01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,294
- 1,969
waafrika ndo walivigunduavimefanyaje??
waafrika ndo walivigunduavimefanyaje??
lini???waafrika ndo walivigundua
Sayansi uleta historia.hiyo ni historia kwani iligunduliwa "zamani",sasa je ni ugunduzi wa kisayansi??
lini???
ndo maana nimesema ni "historia" kugunduliwa kwa dawa ya meno(mswaki),lakini si kila historia huletwa na sayansiSayansi uleta historia.
na si historia uleta sayansi.
naandakaje google hivo vifaa?
kweli hutawezanaandakaje google hivo vifaa?
Hebu tafuta maana ya sayansi kwanza.ndo maana nimesema ni "historia" kugunduliwa kwa dawa ya meno(mswaki),lakini si kila historia huletwa na sayansi
usijifanye mgumu kuelewa,nimesema "historia" ni zamani haijalishi imeletwa na sayansi au laHebu tafuta maana ya sayansi kwanza.
Sayansi ipo kabla ya hiyo historia yako. Hata hyo dawa ya meno waliifanyia manjonjo ya sayansi ndo ikapatikana.usijifanye mgumu kuelewa,nimesema "historia" ni zamani haijalishi imeletwa na sayansi au la
Google "Mpemba effect"
mkuu tiba si sayansi? waliweza kugundua meno hayapo salama wakafanya tafiti na kutengeneza dawa ya menoivi mkuu dawa ya mswaki nayo ni sayansi?nauliza tu
sidhani kuwa kila tiba ni sayansi Cc. waganga wa kienyejiWafrika ni watu wenye akili sana kilichowaangusha ni uvivu wa kuandika na kunakili mambo kwenye makaratasi ila gunduzi nyingi prototype tulifanya africans ambapo mzungu akiona huandika na kupatent
sio kweli kwamba sayansi ilikuwepo kabla ya historia.acha kunidanganyaSayansi ipo kabla ya hiyo historia yako. Hata hyo dawa ya meno waliifanyia manjonjo ya sayansi ndo ikapatikana.
Huo ndio ukweli. Nikudanganye ili iweje?sio kweli kwamba sayansi ilikuwepo kabla ya historia.acha kunidanganya
historia ilianza siku ya kwanza ya ulimwengu!!Huo ndio ukweli. Nikudanganye ili iweje?
Sayansi ilianza kabla ya ulimwenguhistoria ilianza siku ya kwanza ya ulimwengu!!
kaaaah ilianza wapi??Sayansi ilianza kabla ya ulimwengu
Wakati wa uumbaji.kaaaah ilianza wapi??