Lukwangule
Senior Member
- May 25, 2009
- 157
- 2
Mimi nadhani uzezeta ni undefined. Nina maana pana katika hili bila kuangalia watu wengine wanasemaje.Vigezo vya kutambua mbumbumbu vipo lakini vigezo vya mtu kukataa kujifunza Kinichi si umbumbu ni maamuzi. Hivi unazungumziaje suala la mafuta uarabuni? ha ha ha ha ha😛ainkiller: tuangalie kama tunajua si kama vipofu wa elimu na maelezo yasiyokuwa na uhakika kwa sababu ya jazba na ukosefu wa maarifa