Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,480
Sasa kwa nini Mungu asiwafungulie neema wamjue, badala yake anawaziba macho na masikio na kuifanya mioyo yao iwe mizito?Hapa wametajwa wale waliokufuru ambao ujumbe wameupata lakini bado wanaendelea kukadhibisha aya zilizo wazi. Kwa hiyo sio kwamba hawajajua kuhusu habari ya Mwenyezi Mungu ila viburi vyao vikafanywa wakapigwa muhuri. Na wengine wapo mbalimbali kwenye zama zilizopita walishahukumiwa moja kwa moja tangu duniani
Kitendo cha Mungu kuingilia kikizidisha uwezekano wa hawa watu kutomjua Mungu lawama ni kwao au kwa Mungu?