Wa zamani walikuwa na akili sana

Wa zamani walikuwa na akili sana

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
.....,,,,
ImageUploadedByJamiiForums1369748497.862757.jpg
 
Wengine walikuwa wanaloweka miguu kwenye mabeseni...au wengine wanabandika solotepu kwenye kope za macho ili yasifumbe
 
Umenichekesha mbaya Boflo, mie nilikuwa naweka miguu kwenye karai la maji baridi, kule kwetu hali ya hewa ni baridi sana
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Unauliza makofi polisi, si umeona matokeo form 4/2012, hii ni dijitali bwana, mwanafunzi hatoki sebureni mpaka tanthilia zote za siku ziishe, bandika bandua kulala saa 7 usiku.
 
ila sidhani kuwa straight na utayari vinaendana!!anaweza kuwa straight lakini kichwa kimechoka!!
 
Kuna mtu aliweka vijiti kwenye macho kuzuia kufumba, hata hivyo alipitiwa na usingizi
 
Mm niliamin ukihisi usingizi kila k2 kinasizi, 4 that matter nilipopata dalili ya usingizi ni moja kwa moja kulala
 
Hapa hakuna kulala maana huku Tz ni mambo ya maji kwenye beseni na kuweka miguu!
 
Back
Top Bottom