Nani huyo sasa?
Ni wewe
Mtoto ulivyo na haraka sasa.Acha kwanza utajwe???
miss Fulani bhana. We otea tu
mama najijua hee
Hivi siku hizi ni nani amemficha kati yako au utafiti?maan simuoni kabisaaa
Hiyo mama bado haijawa jamani!!!!
Nani huyo?
Duu watu mnamajibu ya fasta?
Kama cha ukame...!