wa TZ kwa kupenda vitu used..........


Baba Kapompo

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
1,292
Likes
100
Points
160
Baba Kapompo

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
1,292 100 160
Wabongo kwa kupenda vitu USED balaa... TV used, REDIO used, GARI used ona sasa hadi BOYFRIENDS na GIRLFRIENDS tunachukua used,je huyo ulienae sio used??????????
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,964
Likes
365
Points
180
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,964 365 180
Hata mabosi wanapenda kuajiri wafanyakazi used, wenyewe wanaita uzoefu.....
 
Piere. Fm

Piere. Fm

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,195
Likes
51
Points
145
Piere. Fm

Piere. Fm

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,195 51 145
Wabongo kwa kupenda vitu USED balaa... TV used, REDIO used, GARI used ona sasa hadi BOYFRIENDS na GIRLFRIENDS tunachukua used,je huyo ulienae sio used??????????
Hata font uliyotumia kuandika hapo ni USED.
 
Daddo

Daddo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
875
Likes
144
Points
60
Daddo

Daddo

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
875 144 60
Ni used kwahiyo unataka nini?
 
chamtemamoto

chamtemamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Messages
796
Likes
5
Points
35
chamtemamoto

chamtemamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2013
796 5 35
Nitampatawapi ambaye sio used?
 
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
639
Likes
19
Points
35
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
639 19 35
yani mmezunguka wee humu ndani mmeona hapa ndipo pa kuweka futuhi zenu eh! mmepotea.
 
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
4,468
Likes
1,542
Points
280
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
4,468 1,542 280
yani mmezunguka wee humu ndani mmeona hapa ndipo pa kuweka futuhi zenu eh! mmepotea.
Babu we hapa ndo ndipo hasa. Hatujapotea abadan
 
Baba Kapompo

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
1,292
Likes
100
Points
160
Baba Kapompo

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
1,292 100 160
We naakili yako iliyotimia unadhani ni jukwaa gan stahik
 

Forum statistics

Threads 1,275,224
Members 490,932
Posts 30,536,133