Wa-Sikh wakatana mapanga katika nyumba ya ibada!...picha!

Wa-Sikh wakatana mapanga katika nyumba ya ibada!...picha!

Hakuna kitu hapo nimesubiri weeeeee nione tone la damu hakuna!!! Au ni mapanga ya plastic hayo?
 
Hakuna kitu hapo nimesubiri weeeeee nione tone la damu hakuna!!! Au ni mapanga ya plastic hayo?

nimecheka sana aisee.
watu wa vita ni vita muraa kama alshabab na ndugu zao bokoharam wakitazama utoto kama huu, wanachekaaaaa.wana masihara kweli hawa mabaniani.eti nao wanachinjana.!!!
 
The caption is deceptive compared to the images. There is no BLOOD!!!

May be I need to wear my contact lenses.
 
Hivi vijamaa huwa ni kiboko cha waislam. Hawa jamaa hawakopeshi, ukiwaletea ugaidi wanakumaliza faster
 
duh watu kwa umbea ni muvi tu inatoka desemba mwaka huu kaeni mkao wa kula wakuu
 
hizi dini za mapanga shida sana..
 
Hizo blades/swords ni plastiki ama? maana sioni kama zinasababisha madhara yeyote yale.
 
[h=3]WHAT WAS OPERATION BLUE STAR?[/h]
article-2650482-000115A21000044C-770_110x145.jpg



The 1984 Indian army operation to establish control over the Golden Temple, ordered by then Prime Minister Indira Gandhi, was one of the most contentious episodes in India's battle against Sikh separatists in the 1980s.

Sikh militants had holed up in the temple for months.

The Indian army botched an attempt to clear them from the holy site, badly underestimating the resistance at first before being drawn into a three-day assault.

The attack outraged Sikhs and led to a catastrophic breakdown in communal relations.

When Mrs Gandhi was killed by her Sikh guards in a revenge attack a few months later, the country erupted.

Mobs overran trains and went house to house across northern India, beating and killing thousands of Sikhs, hacking many to death and burning others alive.

The insurgency was stamped out in the late 1980s.



Read more: Sword-wielding Sikhs clash at India's Golden Temple during prayers | Mail Online

Harafu jengo lenyewe limezungukwa maji nilishawahi kuingia hapo ndani ni hatari
 
hamna haja ya kubadilisha jina.. jina lao ndio jina halisi la dini yao. uswahili wetu tubaki nao huku huku.
 
Back
Top Bottom